Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Nani alikutangazia kuwa Mkapa ni Anaumwa ....!!? This is a different era Bro!

Ukiona Reuters wameandika hizo tetezi ujue kuna kitu nyuma ya pazia.


Ukishaona source ya habari kuwa ni Mr Mzungu wa Belgium, tambua you are doomed -- expect nothing but complete lies!!!
 
Kwa kila aliyepata Corona alikufa kwa ugonjwa tofauti na nimonia?

Wote walienda kwa kushindwa kuhema. Yaani ni kwamba Corona inakupeleka kaburini bila kuhitaji msaada wa ugonjwa mwingine. Kama ni hivyo ni sahihi kuiita Corona ni accelerator?

Hata wanaodai cardiac arrest. Tuseme Kenya ni hovyo katika swala la matibabu kiasi kwamba hawawezi kudeal na cardiac arrest?
 
Hatuna sababu ya kukanusha chochote maana hamjathibitisha kitu hapo; mmezusha tuu kama kawaida ya mizuka yenu ya njaa --- weka muziki, acha maneno, sawa!???
Huelewi na pengine ni ngumu kwako kuelewa maana hujui hata nafasi ya mtu (Rais) ktk nchi...!!

Uthibitisho simple na clear ni huu:

Rais for 2 or 3 consecutive weeks hajulikani alipo. No any official infos...!!

Ni sawa na hivi:

Wewe ni mwajiriwa, halafu siku 3 huonekani kazini kwako.. Atokee "mwajiri mkuu" amuulize msimamizi wa kazi eneo lenu..

"...fulani yuko wapi...?

Hivi wewe kama msimamizi wa kazi eneo hilo ndo utatoa maelezo haya kuwa;

"..thibitisha kama hayupo kweli...?"

Utakuwa timamu kweli kichwani wewe?

Hii scenario katika mfano wangu inafanana 100% na tunachojadili...

Hapa maana yake ni:

å SISI WANANCHI WA TANZANIA:

Ndiyo wenye nchi, ndiyo Mwajiri Mkuu wa Rais John Pombe Magufuli..

å WALIOKO OFISI YA RAIS; Msemaji kuu wa serikali, Katibu Mkuu, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na wasaidizi wake wote;

Ndiyo wasaidizi na wasimamizi wa karibu wa shughuli za Mfanyakazi No. 1 Tanzania - RAIS

Mnaulizwa yuko wapi mfanyakazi namba moja kwa sababu hàonekani kazini, mnajibu utumbo kama wendawazimu vile..

Eti, "...thibitisheni kuwa hayupo kazini...!!"

LOL...! MNATISHA AISEE..
 
Mliopo China/India tupeni mrishonyuma Vp mkeka bado unapumua au umechanika?
 

Tanzania President John Magufuli ‘in India with COVID-19’​

Opposition leader Tundu Lissu says president transferred from a hospital in Kenya to India and is in a serious condition.

Tanzania's President John Magufuli has played down the threat from COVID-19, saying God and remedies such as steam inhalation would protect Tanzanians [File: Thomas Mukoya/Reuters]

Tanzania's President John Magufuli has played down the threat from COVID-19, saying God and remedies such as steam inhalation would protect Tanzanians [File: Thomas Mukoya/Reuters]
11 Mar 2021
Tanzania’s main opposition leader has said President John Magufuli, an avowed coronavirus sceptic out of public view for nearly two weeks, is in India receiving medical treatment for COVID-19 and is in a serious condition.
Tundu Lissu, who lost last year’s election to Magufuli, on Thursday cited medical and security sources in Kenya for his information that the president had been transferred from a hospital in Kenya to India and was in a coma – but did not provide evidence.
KEEP READING
Condemnation as coughing Tanzanian minister gives news conferenceTanzanian opposition demands answers on Magufuli’s healthTanzania COVID U-turn ‘a good move’ – but is it good enough?
Tanzanian government spokesmen have stayed mum during days of speculation over the 61-year-old Magufuli’s
whereabouts and health.
In power since 2015 and nicknamed “The Bulldozer”, Magufuli was last seen on February 27 looking his normal robust
self during a ceremony at State House in Dar-es-Salaam, Tanzania’s largest city.
Lissu told the news agency Reuters that Magufuli was flown to Kenya’s Nairobi Hospital at the start of this week and then on to an unknown destination in India. “He’s comatose since yesterday morning,” he said, without elaborating.
Kenya’s Nation newspaper cited unidentified political and diplomatic sources on Wednesday saying that an African leader, which it did not name, was being treated for COVID-19 on a ventilator at a Nairobi hospital.
India’s foreign ministry and its high commission in Nairobi had no immediate comment.

‘COVID denialism in tatters’​

Magufuli has played down the threat from COVID-19, saying God and remedies such as steam inhalation would protect Tanzanians. He has mocked coronavirus tests, denounced vaccines as part of a Western conspiracy to take Africa’s wealth, and opposed mask-wearing and social distancing.

“His COVID denialism in tatters, his prayer-over-science folly has turned into a deadly boomerang,” Lissu tweeted in the early hours of Thursday.

According to Tanzania’s constitution, Vice President Samia Suluhu Hassan would take over for the rest of the five-year term if the president is unable to discharge duties.

World Health Organization’s Africa director, Matshidiso Moeti, told a news conference on Thursday that she had no direct information on Magufuli’s health and it would be unwise to speculate. She noted that Tanzania now recognised the danger of COVID-19 following two senior officials’ death and said more data would be welcome.


“Whatever is the case with President Magufuli, we can only wish him well if these stories are indeed true, and we very much reiterate our preparedness to support the government and the people of Tanzania,” she said.

Tanzania stopped reporting coronavirus data in May last year when it said it had 509 cases and 21 deaths, according to data held at the WHO. In January, Magufuli said vaccines for the disease were “dangerous”.

“Vaccines are not good. If they were, then the white man would have brought vaccines for HIV/AIDS,” he said earlier this year.

However, in February in a surprise change in the official stance on coronavirus, Magufuli said the government had not forbidden the wearing of masks and encouraged those who wanted to do so.

However, he warned against what he claimed were faulty face coverings on sale in the country, suggesting that high coronavirus-related death rates worldwide could be linked to the uptake of such products and claiming those in Tanzania’s rural areas were less likely to fall victim to the virus because they tended not to wear them.

“The government has not forbidden mask-wearing. But we have to be careful about which masks we wear. We will perish. Don’t think we’re loved so much. Economic war is bad,” Magufuli told a congregation at a church service in Dar-es-Salaam.

“These masks which we buy in the shops- we’re killing ourselves,” he argued, before advising Tanzanians to either to make the masks themselves or use those produced locally.
 
Ndugu kwa sasa tuache chuki, tumuombee Muheshimiwa Rais huko aliko. Uwezekano wa kuwa mgonjwa upo, naye ni binadamu kama sisi.

Ila na wana CCM nao waache kushangilia mateso wanayo yapata CHADEMA. Tulipo fika siyo kabisa, sijawahi kuona taifa ambalo lina watu wengi wanafurahia kiongozi wao akipata majanga.

Watanzania tupendane.
 
Kama uliambiwa kuhusu kuugua kwa JN, JK & Mkapa, halafu sasa unaona kimya. Ndipo uamini ni uzushi kama uzushi mwingine. Halafu, unasema si kawaida yake kutoonekana kwa muda mrefu. Naona sasa unaishi kimazoea na kwa kukariri maisha. Pole sana. JPM is alive & well, Pls mark my words.
Alive and well while he is in AWOL...
In HIDEOUT....
DAMNN YOUU..
 
Umesema kweli na vyema. Sasa wewe unafikiri ni kwanini hali iko hivi? Kwanini na yeye "JIWE" asipate "waombezi wa hiari" kama alivyopata Tundu Lissu?

Kukusaidia kujibu hili, ni hivi ndugu yangu. Ni kweli kabisa kuwa, dunia ni duara. Kwa maana utakwenda na kutembea weeeeee, mwisho wa siku utarudi palepale ulipoanzia safari yako...

Na maana yake nyingine ni hii:

"FOR EVERY ACTION, THERE IS EQUAL AND OPPOSITE REACTION" Kwa lugha nyingine ni kuwa, hakuna dhambi (tendo baya) ambayo haitahukumiwa.

Sijui Utakuwa umenielewa au nimekuacha njia panda?
 
Kwanza dunia inatushangaa tumegeuza Bunge ni mahali pa kwenda wale tunaowapa fadhila kwa vile walinengua wakati wa kampeni.
 
Kwenye hili wenye dhamana wamepwaya kiukweli inasikitisha kwa wananchi kumuombea mabaya mtumishi wao namba moja ila wenye dhamana ilitakiwa wasiruhusu kwa kuweka hayana kwamba mh ni mgonjwa ama si mgonjwa kuumwa sio Jambo la siri
Hata kama siyo mgonjwa, Mungu atakuwa amemfanya asionekane kwa muda ili yafunuliwe yaliyorohoni mwa watu na yeye muhusika ayasikie au ayaone na kuyasoma kwa macho na masikio yake.

hata kama leo atajitokeza akiwa mzima wa afya, mimi namshukuru Mungu kwamba kwa kipindi hiki cha wiki moja na zaidi utawala umeona jinsi unavyochukiwa na wanaowaongoza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom