Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Safi sana. Endeleeni na laana zenu...sisi tumetulia tunawatizama mnavyounguza maharage .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana. Endeleeni na laana zenu...sisi tumetulia tunawatizama mnavyounguza maharage .
jiwe hatunae tena jeshi liandae mizingangoma nzito imemshindwa baba yako sembuse rais!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Siku itakavyotangazwa amekufa bado sijajua ntafanya niniKurudi atarudi ila kuzikwa.
Tupieni zile picha za wajuba wa ghana wale[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hayo maneno aliyasema jiwe akiwa haiDah.![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
laana zipi??,mnaacha kuhangaikia chama na maisha yenu mnahangaika na vitu ambavyo havina faida kwenu,chama wala watoto wenu.Safi sana. Endeleeni na laana zenu...
kumbe hata huna uhakika.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Siku itakavyotangazwa amekufa bado sijajua ntafanya nini
[emoji23][emoji23][emoji23].kigogo mwenyewe kashtuka.jiwe hatunae tena jeshi liandae mizinga
Chama kipi? Cha msalaba mwekundu au cha mpira wa miguu?laana zipi??,mnaacha kuhangaikia chama na maisha yenu mnahangaika na vitu ambavyo havina faida kwenu,chama wala watoto wenu.
Hata Mungu hasaidii huo upuuzi.
chama cha wanawake wajane.Chama kipi? Cha msalaba mwekundu au cha mpira wa miguu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Siku itakavyotangazwa amekufa bado sijajua ntafanya nini
Labda yupo huku.Pages zote nime pitia nikijua nitakutana na jibu la alipo Mheshimiwa, ngoja niendelee kumtafuta.
Hebu rudia ulichoandika. Vinginevyo ww ni miongoni mwa waliopanga ama kutekeleza lile jaribio la mauaji. Roho inakuuma sana unapoona bado yuko hai. Yule mlietaka aishi atawale kwa furaha atarejeshwa kwenye cargo flight.[emoji24][emoji24]Huyuhuyu Lissu anaetembea kama tipa linabinua mchanga?
Ni kitu kibaya sana, yaani very very bad. Si utamaduni wetu, laki6n hali ikifikia hapa wahusika waangalie upya walikosea wapi.Swala la ugonjwa wa mtu lisiwe jambo la kushadadia jamani, this is sad.