Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hii aibu isije rudia tena.Serikali iwe wazi kwenye Afya ya viongozi wetu.Hawa viongozi wanawajibika kwetu wapiga kura,lazima tupate taarifa sahihi
CCM wana aibu, hebu rudia aliyokuawa anaongea yule BASHIRU alafu useme kama ana aibu , ama walivyokuwa wanadanganya kuhusu corona, sijui kupima mapapai,
 
Hii aibu isije rudia tena.Serikali iwe wazi kwenye Afya ya viongozi wetu.Hawa viongozi wanawajibika kwetu wapiga kura,lazima tupate taarifa sahihi
Kitu hujui uliza, hata akifa mkulima kabla ya kupiga ukunga lazima mambo ndani ya nyumba yawekwe vizuri la sivyo baada ya kilio utakuta kila kitu kimeibiwa, sembuse mkuu wa nchi!
 
Rais ni Mwanadamu, hata kama wakati mwingine anazungumza kama mwenye ufunguo wa mbinguni.
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza asante kwa bandiko hili, mimi lilinipita, ndio naliona leo. Nasema asante kwasababu people changes, umejitambua na umebadilika, changing for the better. Nakumbuka kule nyuma tulitofautiana ulipomuita JPM ni Alfa na Omega

Laiti tungeelezwa ukweli kuwa rais wetu ni mgonjwa, Watanzania tungemuombea na miongoni mwetu kuna watu wana powers, labda saa hizi angekuwepo, ila mambo mengine ni mipango ya Mungu, siku ikifika, imefika, hata ufanye nini, huwezi kubadili matokeo, ila tungejulishwa ni mgonjwa, isingekuwa a big shock kama ilivyotokea.

RIP Shujaa wetu JPM, pumzika kwa amani.
P
 
Lissu nimuongo kama waongo wengine na AIBU ITAKAYO WAKUTA NADHANI ITAKUWA ZAIDI YA ILE AIBU YA UCHAGUZI.

umesema ? bado lissu anadanyanya ? nyie ccm mnakuwaga wa mwisho kupata habari za ndani inanishangazaga sana
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza asante kwa bandiko hili, mimi lilinipita, ndio naliona leo. Nasema asante kwasababu people changes, umejitambua na umebadilika, changing for the better. Nakumbuka kule nyuma tulitofautiana ulipomuita JPM ni Alfa na Omega

Laiti tungeelezwa ukweli kuwa rais wetu ni mgonjwa, Watanzania tungemuombea na miongoni mwetu kuna watu wana powers, labda saa hizi angekuwepo, ila mambo mengine ni mipango ya Mungu, siku ikifika, imefika, hata ufanye nini, huwezi kubadili matokeo, ila tungejulishwa ni mgonjwa, isingekuwa a big shock kama ilivyotokea.

RIP Shujaa wetu JPM, pumzika kwa amani.
P
Nani angekujulisha Pascal Mayalla ?!. Hawa waliosema "Rais yuko ikulu anachapa kazi au mlimtaka manzese" . Tena mtu anasema hayo akiwa kwenye mwimbari wa Imani !! Tatizo ni aina ya serikali tuliofikiria kuiendesha (U COMMUNIST). Kwenye u communist hua wana siri za kipuuzi kama hizi tulizozishuhudia hapa kwetu . Wanaziita UZALENDO . Mfano ni North Korea ambapo kiongozi akiugua inakuwa siri kubwa.

U communist haulipi popote duniani na hata kwetu hapa haiwezi kuutoa nchi mrisi.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza asante kwa bandiko hili, mimi lilinipita, ndio naliona leo. Nasema asante kwasababu people changes, umejitambua na umebadilika, changing for the better. Nakumbuka kule nyuma tulitofautiana ulipomuita JPM ni Alfa na Omega

Laiti tungeelezwa ukweli kuwa rais wetu ni mgonjwa, Watanzania tungemuombea na miongoni mwetu kuna watu wana powers, labda saa hizi angekuwepo, ila mambo mengine ni mipango ya Mungu, siku ikifika, imefika, hata ufanye nini, huwezi kubadili matokeo, ila tungejulishwa ni mgonjwa, isingekuwa a big shock kama ilivyotokea.

RIP Shujaa wetu JPM, pumzika kwa amani.
P
Naona unasema kitu ambacho sikuwahi kukisema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom