Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
CCM wana aibu, hebu rudia aliyokuawa anaongea yule BASHIRU alafu useme kama ana aibu , ama walivyokuwa wanadanganya kuhusu corona, sijui kupima mapapai,Hii aibu isije rudia tena.Serikali iwe wazi kwenye Afya ya viongozi wetu.Hawa viongozi wanawajibika kwetu wapiga kura,lazima tupate taarifa sahihi
Kitu hujui uliza, hata akifa mkulima kabla ya kupiga ukunga lazima mambo ndani ya nyumba yawekwe vizuri la sivyo baada ya kilio utakuta kila kitu kimeibiwa, sembuse mkuu wa nchi!Hii aibu isije rudia tena.Serikali iwe wazi kwenye Afya ya viongozi wetu.Hawa viongozi wanawajibika kwetu wapiga kura,lazima tupate taarifa sahihi
si alisema mwenyewe anataka kuongoza huko? unajuaje kama kapewa? au hayupo huko?Uchafu
Uchafusi alisema mwenyewe anataka kuongoza huko? unajuaje kama kapewa? au hayupo huko?
Mzee mnafiki sana huyu. Katetea sana muuaji na mauaji...Mzee habari yako
Atawashangaza watu pale atakapo kuja na teuzi ya katibu Mkuu CCM.
Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza asante kwa bandiko hili, mimi lilinipita, ndio naliona leo. Nasema asante kwasababu people changes, umejitambua na umebadilika, changing for the better. Nakumbuka kule nyuma tulitofautiana ulipomuita JPM ni Alfa na OmegaRais ni Mwanadamu, hata kama wakati mwingine anazungumza kama mwenye ufunguo wa mbinguni.
Bado hajaja tu? [emoji4][emoji4]
Lissu nimuongo kama waongo wengine na AIBU ITAKAYO WAKUTA NADHANI ITAKUWA ZAIDI YA ILE AIBU YA UCHAGUZI.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] matagaLissu na Zitto ni waongo waongo sio wa kuwaamini
Nani angekujulisha Pascal Mayalla ?!. Hawa waliosema "Rais yuko ikulu anachapa kazi au mlimtaka manzese" . Tena mtu anasema hayo akiwa kwenye mwimbari wa Imani !! Tatizo ni aina ya serikali tuliofikiria kuiendesha (U COMMUNIST). Kwenye u communist hua wana siri za kipuuzi kama hizi tulizozishuhudia hapa kwetu . Wanaziita UZALENDO . Mfano ni North Korea ambapo kiongozi akiugua inakuwa siri kubwa.Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza asante kwa bandiko hili, mimi lilinipita, ndio naliona leo. Nasema asante kwasababu people changes, umejitambua na umebadilika, changing for the better. Nakumbuka kule nyuma tulitofautiana ulipomuita JPM ni Alfa na Omega
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!
Wanabodi, Hili ni bandiko la kumjibu mwana JF mwenzetu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, aliyesema rais Magufuli ni alfa na omega, hapa mimi natofautiana naye kuwa rais Magufuli sio alfa na omega, Alfa na Omega ni Mungu tuu pekee!. Rais wa nchi sio mungu hivyo kumuita Rais Magufuli kuwa alfa na omega, ni...www.jamiiforums.com
Laiti tungeelezwa ukweli kuwa rais wetu ni mgonjwa, Watanzania tungemuombea na miongoni mwetu kuna watu wana powers, labda saa hizi angekuwepo, ila mambo mengine ni mipango ya Mungu, siku ikifika, imefika, hata ufanye nini, huwezi kubadili matokeo, ila tungejulishwa ni mgonjwa, isingekuwa a big shock kama ilivyotokea.
RIP Shujaa wetu JPM, pumzika kwa amani.
P
Sio lazima. Mwanzo alizushiwa kifo na hakuwahi kutokeza mtu yeyote kukanusha. Kwahiyo wacha wajinga waendelee kutiana ujinga.
Naona unasema kitu ambacho sikuwahi kukisema?Mkuu Mzee Mwanakijiji , kwanza asante kwa bandiko hili, mimi lilinipita, ndio naliona leo. Nasema asante kwasababu people changes, umejitambua na umebadilika, changing for the better. Nakumbuka kule nyuma tulitofautiana ulipomuita JPM ni Alfa na Omega
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!
Wanabodi, Hili ni bandiko la kumjibu mwana JF mwenzetu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, aliyesema rais Magufuli ni alfa na omega, hapa mimi natofautiana naye kuwa rais Magufuli sio alfa na omega, Alfa na Omega ni Mungu tuu pekee!. Rais wa nchi sio mungu hivyo kumuita Rais Magufuli kuwa alfa na omega, ni...www.jamiiforums.com
Laiti tungeelezwa ukweli kuwa rais wetu ni mgonjwa, Watanzania tungemuombea na miongoni mwetu kuna watu wana powers, labda saa hizi angekuwepo, ila mambo mengine ni mipango ya Mungu, siku ikifika, imefika, hata ufanye nini, huwezi kubadili matokeo, ila tungejulishwa ni mgonjwa, isingekuwa a big shock kama ilivyotokea.
RIP Shujaa wetu JPM, pumzika kwa amani.
P
Naona unasema kitu ambacho sikuwahi kukisema?
Ni kukumbushana tuu.Na. M. M. Mwanakijiji
Magufuli amekuacha ili kuwaambia watu "yeye ndiyo alfa na omega wa utawala nchini" kitu ambacho ni kweli.
MmeanzaYuko wapi Jakaya Mrisho Kikwete?