Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Kila nikikumbuka kuna wapuuzi walisema amepelekwa South Africa napo hajafua dafu akakimbizwa haraka Ujerumani huwa nabaki tu kusema kweli wabongo huwa wana yao, maana lengo lao mtu kila siku ajipost sijui,.. vinginevyo anazushiwa kifo...nachojua kila binadamu huwa anaumwa, hivyo hata akiumwa leo sishangai kwani ni kawaida ya binadamu.
 
Si mara ya kwanza humu mitandaoni kuzushia watu vifo,sasa point yangu ni kwamba huko mitaani watu wanaendelea na shughuli zao hakuna taharuki yeyote wala mawazo ya kwamba et kuna ukimya wa Rais.
Wewe nae acha kujidanya, watu wengi sana wanatumia fecabook, habari wanazipata kama kawaida
 
Kwa kiongozi anajielewa lazima ujiulize kwanini watu wengi namna hii wanakuombea mabaya, lazima kunajambo huendi sawa, wamepita viongozi wengi kila mmoja amesemwa vibaya kwa wakati wake lakini huyu wa sasa zipo ishara nyingi sana zinaonesha amekosa kibali cha uongozi hata kwa mtoa kibali.

Hivi machozi ya watu wa Kimara yakukose,vyetu feki yakukose, Manung'uniko ya hali ngumu mtaani yakukose, tumbuatumbua! Woote hawa wamlilie mtu mmoja sijui kama utatoboa.

Tuishini kwa upendo haya mengine yanapita.
 
Wabongo kwa speculation hamjambo jiwe yuko fit anaendelea na kazi za ujenzi wa taifa rais sio kama kina diamond awe anauza sura kila siku kwenye media nae anahitaji privacy afanye mambo kwa utulivu usikute yuko mahali kuna pisi anaichakata
 
Usimuombee mwenzio mabaya kwa maana sisi wote ni wa Mwenyezi Mungu hata kama unahasira na mtu msamehe tu maana imeandikwa samehe saba mara sabini kwa maana Mungu wetu ni wa msamaha, nakaribisha kukosolewa kama nimewakwaza maana hata mitume na manabii walisamehe na kusahau
Ni mara ngapi ulishamshauri huyu mgonjwa wakupumua kusamehe wenzake au unataka tumsamehe yeye kwakuwa anaumwa?
Akipandacho mtu ndicho avunacho,huyu kapanda roho mbaya wewe unataka avune roho nzuri?
 
Wabongo kwa speculation hamjambo jiwe yuko fit anaendelea na kazi za ujenzi wa taifa rais sio kama kina diamond awe anauza sura kila siku kwenye media nae anahitaji privacy afanye mambo kwa utulivu usikute yuko mahali kuna pisi anaichakata
Umeongea ukweli lakini "pisi kali anaichakata" ndio sijaelewa.
Wengine humu ni wazee wajameni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom