Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hizi taarifa ni za kweli basi tuna mfumo mbovu sana... Huyo ni Rais and then kuna watu wanajua hatua zake kibao kabla
Kama hizi taarifa ni za kweli basi tuna mfumo mbovu sana... Huyo ni Rais and then kuna watu wanajua hatua zake kibao kabla
Huyo nzi wa kijani anataka kujitoa ufahamu tu lakini anajua vizuri sana kuhsu Kenya. Mwulize kama hajui kuwa hata mfuasi wa Jiwe Nkurunziza(RIP) alipobanwa mbavu alienda kufia Narobi huku mkewe akiponea chupuchupu!!!Ndiyo unajua leo? Kenya wako mbele vitu vingi sana. Mbona ni siku nyingi watanzania wakiugua na matibabu yakashindikana Tanzania, Nairobi ndiyo huwa kimbilio? Hili la kwenda India na Africa Kusini lilianza miaka ya karibuni.
[emoji38][emoji38][emoji38]Halafu mtu anakuja na mawazo ya kupandisha gharama za mawasliano, eti Serikali ya wanyonge?
Hivi CHADEMA bado ipo?CDM siyo chama cha siasa tena bali ni chama cha wanaharakati.
Kuna wanaharakati tu. Kwani kinaongoza jimbo gani?Hivi CHADEMA bado ipo ?
Umechoooka, ume-panic, unahangaika. Ukweli ni kuwa anaumwa, la muhimu ni kumwomba Mungu apone na nadhani atakuwa amejifunza somo muhimu sana la maisha. Najua nyie wachumia tumbo siyo kweli mnampenda ila mnapenda mataumbo yenu yazidi kujaa.CDM siyo chama cha siasa tena bali ni chama cha wanaharakati.
Kweli kabisaKumuombea mabaya mh Rais ni uchawi tu. Mh Rais tutakuombea uwe mzima au mgonjwa.