Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

Status
Not open for further replies.
Hatuna haja na mabeberu, hata kama anaumwa atakua hapo Dodoma tuna mabingwa na vifaa vya kutosha, kwanini tuende kwa watu wasiokua na uzalendo. Mabeberu wakimdhuru? Au alitudanganya, are they medical advanced than us? Na kwamba ni kweli ameenda?
 
Lissu kamwambia wazi kati ya watu wanaotamani mkuu asirudi hai ni pamoja na yeye Mwigulu watch out.

“Najua unashukuru Mungu amepelekwa India akiwa comatose, na unaomba asirudi!”. Lissu. Short and clear.
Unaweza shikwa na tumbo la kuhara. Duh, aibu kwa Mwigulu jamani
 
Kesi namba moja mwaka 21.
Tundu Lissu unashitakiwa kwa kuhoji Rais yuko wapi!
Chini ya kifungu cha 1 hautakiwi kujua alipo Rais!
Safi sana.
 
Huna akili na hujui anayesanvaza hizi taarifa.
Kwa taarifa yako wanaosambaza sio CHADEMA
 
Kuna ulazima wowote wa kuambiwa alipo?
Hata kama akiambiwa Magufuli anaumwa kweli yeye anataka kufanya nini?
 
Kwani kama ikiwa corona, ndo nini sasa?

Si ni ugonjwa tu.

Ye ndo wa kwanza kuipata?
Rais yupo salama salimini - alipomteua katibu mkuu kiongozi mpya, ili.bidi wajifungie kusudi amweleze matarajio yake kwake! Wapitie kila jambo linalohusu nchi, bila kuachia kitu. Hii exercise ni ndefu. Baada ya hapo ataanza majukumu yake ya kawaida na mtamuona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom