KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
According to who and under what rationale?After all, imagination is more imporntant than knowledge.
You want people to read "between the lines", why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to who and under what rationale?After all, imagination is more imporntant than knowledge.
Mbona wameshakanusha na kuomba radhi kwa usumbufu. Nadhani ni gazeti la Daily Nation la Kenya.Habari hizi zikanushwe; zinatusumbua sana Covid-denying Tanzanian President Magufuli reported to have flown to Kenya for coronavirus treatment
Mbona wameshakanusha na kuomba radhi kwa usumbufu. Nadhani ni gazeti la Daily Nation la Kenya.
Nikajua kapewa taarifa kutoka kwenu... maana naona unajiita "mbingunikwetu"Nairobi wameka
Nairobi wamekanusha. Tundu Lisu alipewa taarifa toka Nairobi!
Nimuue Tundu Lisu kwa lipi? Weka ushahidi basi kama kweli wewe ni muwazi?Tageti yako haikuwa kumpa kilema Lisu ilikuwa umuuwe Ila ndiyo hivyo Mwenye Mbigu kakataa
Siku hizi kidogo unaona nuruNi suala tu la kuendana na maisha ya kidigital, kuwapa habari wananchi kila siku sio mpaka kuapishana au kutumbuana tu.
Wala kuugua sio aibu Wala sio dhambi.wanyama wote huugua.Kwenye hili wenye dhamana wamepwaya kiukweli inasikitisha kwa wananchi kumuombea mabaya mtumishi wao namba moja ila wenye dhamana ilitakiwa wasiruhusu kwa kuweka hayana kwamba mh ni mgonjwa ama si mgonjwa kuumwa sio Jambo la siri
Na alisababisha watu wengi wasiionee aibu tezi dume. Nakumbuka aliporudi tu, alifanya press na wanahabari na wazee wa DSM na alijibu maswali . Hii imeperekea wananchi wengi kutokuionea haya TEZI DUMEMadikteta wengi kuumwa kwao ni kama kushindwa au udhaifu au aibu.
JK alipougua tezi dume alisema mzee wa watu na taifa likawa nae bega kwa bega.
Endelea bila kuchoka kumuombea rais wetu, huku ukiamini kua ni mzima na anachapa kazi na wewe chapa kazi. Kama unahitaji kumuona andika barua ya ombi hilo toa sababu kwanini unataka kumuona rais itume kwa ofisi ya rais makao makuu Dodoma. ikionekana kuna umuhimu utatengewa muda ukamuone. rais yupo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi. nikutakie majukumu mema.huu uongo unawasaidia nini.???
Kikwete alipoumwa tulipewa taarifa akiwa kulekule hospital, na akatoa namba ya simu ya kwake binafsi ili waTZ wamtumie salamu za pole, na tukaoneshwa picha akiwa kitandani baada ya operation huku akijib mesej za wananchi wake., siku aliyorudi aliita vyombo vya habari palepale airport akaelezea kila kitu..
Mkapa alipoumwa tulipewa taarifa akiwa kulekule uswizi alipokuwa anatibiwa nyonga..
kwa JPM watu wapo kimya, hawatoi taarifa wala hawakanushi, mimi binafsi namuombea sana uhai ili akamilishe hii miradi, hivyo kama anaumwa (Mungu asimame upande wake na amponye)..
lakini kwanini hatuambiwi.? kwanini kila anayehoji anatukanwa.?? kwani kuumwa kwa binadamu ni tatzo .???
Sheria ya mtandao ipo, hapa sitishi mtu.Acha kutisha wenzio wewe
Kweki kabisa mkuu. Mimi ni kati ya watu walioshangaa rais mzima kujitangaza anaumwa tezi dume.Na alisababisha watu wengi wasiionee aibu tezi dume. Nakumbuka aliporudi tu, alifanya press na wanahabari na wazee wa DSM na alijibu maswali . Hii imeperekea wananchi wengi kutokuionea haya TEZI DUME
Angalia akina Sitta walioionea aibu !!Kweki kabisa mkuu. Mimi ni kati ya watu walioshangaa rais mzima kujitangaza anaumwa tezi dume.
Ni logic tu mkuu! TunakumbushanaWachache sana watakuelewa, ila subiria matusi ya mataga na uvccm.
Kimya kingi kina mshindo mkuu. Mazoea ya kumweka kwenye luninga kila siku yameleta haya.Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais ni mwanadamu, hata kama wakati mwingine anazungumza kama mwenye ufunguo wa mbinguni. Mwisho mtasababisha taharuki isiyo ya lazima na kufanya watu wamposti Mama Samia tena.
Kama anahitaji kuinuliwa katika maombi huu ndio wakati. Kama hakuna jambo serious mnasema hivyo nakerekaga kweli.