Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Huyo unaedai atarejeshwa akiwa kwenye cargo flight,huyo Lissu alienusurika kufa,wewe pamoja na mimi safari yetu no ileile.Hakika tutakufa.Hebu rudia ulichoandika. Vinginevyo ww ni miongoni mwa waliopanga ama kutekeleza lile jaribio la mauaji. Roho inakuuma sana unapoona bado yuko hai. Yule mlietaka aishi atawale kwa furaha atarejeshwa kwenye cargo flight.[emoji24][emoji24]
Uwe umetenda mabaya hapa duniani kama mnavyodai kwa Magufuli, uwe mwema kupitia kiasi, utakufa tu. Chamsingi omba Mungu na utafute hela Ili usije kufa kibudu.