Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo hapo Ufipa mnaumwa maana siyo Mbowe wala Mnyika anayeonekana hadharani?

Mkuu wanaonekana ndio maana hawajauliziwa ,si umeona hadi na nyie Lumumba hamjauliza Mbowe na Mnyika? Alafu Kile Kindoo cheupe pale Lumumba cha lita 20 mbona kidogo sana kutosha kunawa mikono wana Lumumba wote? Badilisheni wekeni TANK Kubwa au Pipa.
 
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.

Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake?

Maendeleo hayana vyama!
COVID19 baba. Sio utani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom