Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipopiga Lisu risasi ulitaka nini? WAUWAJI wakubwa nyinyiChadema wanapenda wenzao wafe. Sijui wana roho gani hawa
Dhihaka gani?na Dikteta ni nani?unajua maana halisi ya udikteta?Safi sn MUNGU siyo wakufanyiwa dhihaka na dikteta mmoja
Kuna komenti moja nilisoma humu anasema wanaojifanya wameshika dini,Ndio watu wabaya sana...Safi sn MUNGU siyo wakufanyiwa dhihaka na dikteta mmoja
Unataka impangie mutu cha kusema??Dhihaka gani?na Dikteta ni nani?unajua maana halisi ya udikteta?
Dereva wake je anaonekana?Naibu wake pia hakuwepo?!
Au dhulma ya ubunge Kigoma wamesha mgomesha??MUNGU hachezewi acha iwatafune wao wenyewe
KabisaaaaMama Samia tulikuwa naye juzi kwenye sherehe za miaka 44 ya CCM pale Mabwepande jimboni kwake askofu Gwajima!
Vp wale wanaoteka kuwatesa kuwapiga risasi na kuwaua wakosowaji wao wanapenda nn??Chadema wanapenda wenzao wafe. Sijui wana roho gani hawa
Ushetani wenu huko lumumba mumeua watu wengi sanaWana roho za kishetani!
Kwahiyo hapo Ufipa mnaumwa maana siyo Mbowe wala Mnyika anayeonekana hadharani?
COVID19 baba. Sio utaniNauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.
Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake?
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee chukua tahadhari Moshi na Morogoro hakusomeki!
Du!Au dhulma ya ubunge Kigoma wamesha mgomesha??
Papa mwenyewe anaogopa corona kama nini alafu anatokea mtenda dhambi mkubwa na katili anajifanya anamjua MUNGU kuliko watu wengine na kutamba juuKuna komenti moja nilisoma humu anasema wanaojifanya wameshika dini,Ndio watu wabaya sana...