Na hakuna anaependa kuhama nchi yakeWataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje!
Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi. Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi
Uzuri gani wewe njaaAkili zao watengeneze faida lakini wawekeze hapa hapa kama Marehemu Mengi!!! Umeelewa tofauti wewe boya. Sina haja ya kuomboleza kwani namshukuru Mungu niko vizuri.
Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje!
Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi. Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi
Afadhali huyo aliondoka kuliko yule wa kanga mokoDah utopolo angalau watakuwa na ahueni
Alafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
Mtu yeyote anayetajirika kwa ujanjaujanja haleti maendeleo nchini bali umaskini!! Manji haleti fedha za kuwekeza bali anakwenda kukopa hela zenu mlizoweka benki ndio anazizungusha halafu mwisho wa siku halipi madeni benki na nyie mliowekeza huko CRDB mwisho wa mwaka mnaambia benki haikupata faida hivyo hampati gawio sababu mikopo ya wakina Manji imekuwa chefu chefu na benki faida yake ni kiduchu!!Ebu jitaidi kusoma theory ya uchumi wa Taifa ndio utajua umuhimu wa matajiri katika nchiβ¦. Hivi unajua ni familia ngapi zimetaabika kwa kukosekana Manji nchini??
Sasa waKati alipoondoka akaacha kufanyabiashara ww ulifaidikaje?Wataanza kurudi kuja kufanya biashara zao kwani wameishaona kuna uchochoro umefunguka!!! Tusijidanganye na hawa wakina Manji kuwa wana uzalendo hasa hawa jamaa zetu wahindi; akili yao yote iko kwenye kutengeneza faida halafu kuwekeza nje!
Ili kupata faida kubwa wanakwepa kodi. Tusiwachekee sana hawa mwisho nchi itakujavuna mabua!!! Hakuna mfanyabiashara anaependa kulipa kodi
Chawa umekula leoMama ameonyesha matumaini, na anapendwa na wengi
Umeongea ukweli Waafrika na watanzania kwa ujumla hatuna malengo ya pamoja kama watu weusi kufanya maendeleo tumeamua kuwa chawaPabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!
Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,
Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu
Nchi yangu ya ajabuu sana
Manji amejenga bonge ya nyumba zake alizokuwa anaishi na familia yake upangaAlafu hawa jamaa uwa hawajengi nyumba za kuishi, labda huko dar. Zaidi Uwa wanafakamia nyumba za msajili
π π πYanga watalinga. Mashabiki wa Yanga wapewe ulinzi.
Mimi sio kama wewe unaedanganywa eti mfadhili wa YANGA hivyo mumtetemekee nyie maboya; hamjui kuwa anawatumia kwa faida zake na nyinyi mnaambulia BIG GEE tu!!!Sasa waKati alipoondoka akaacha kufanyabiashara ww ulifaidikaje?
Na wakati huu amerudi ww utapungukiwa na nini au utaongeza nini kwako?
Wanajifanya hawajui hilo..Dawa za kulevya zisipozagaa Kwa Kasi ya 5G nitaondoa shilingi aisee
Ohhhooo! Naomba kufahamu kiwango chako cha Elimu pleazNani kafungwa katika list ile, walengwa wakuu ilikuwa ni gwajima, mbowe na manji wengine gereshea.
Nani kafungwa katika list ile, walengwa wakuu ilikuwa ni gwajima, mbowe na manji wengine gereshea.
Hama uende CongoPabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!
Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,
Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu
Nchi yangu ya ajabuu sana
Wanajifanya hawajui hilo..
Timu inaanza kujiunda upya... .
Ngoja tuone..