Pabaya wapi, Wengi wa Watanzania walishazoea Kula chakula cha kutupiwa kama mbwa, na wanaowatupia chakula hicho ndio hao mnaowatetea leo!!
Shida ni uvivu na kukosa uchungu wa kwanini ulizaliwa Tz na upo Tz ili iwe nini, wengi hawaelewi, ispokuwa wanafurahia tu kuwepo Tz pasina kuelewa Ni kivipi kwenye nchi za wengine mtu akiwa mkwepa Kodi Adhabu yake huwa ni kubwa na kali Sana,
Tofauti na Hapa kwetu, mtu akiwa mkwepa Kodi, atayemfuatilia alipe Kodi ataonekana ndiye hafai na ananyanyasa watu
Nchi yangu ya ajabuu sana