Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

Ndio maana nikasema wajinga ni wengi na miongoni mwao ni hao poli-ccm wanaotumika kuminya sauti za raia kwa vitisho vikali! Huku wanasiasa wakijineemesha kwa mtaji wa wajinga hao
Mfano sasa wamejua Manji huenda akafungua kesi nyingi kudai mali zake ambazo aliporwa kienyeji kishetani na magufuli ndiyo maana wametumia Takukuru kumtisha aogope awe kimya waendelee kutaifisha vitu vyake kwa njia za uonevu unyanyasaji uovu mkubwa
 
Unajuaje kama alikuwa anaonewa?
 
Msije kushangaa kesho kutwa anaingia ikulu kuzungumza na mama
 
Visasi visasi visasi tunatengeneza taifa la visasi yanga walikuwa na ela gani ambayo manji alibeba?

Upumnavu mtupu hii ni vita ya kibiashara baina ya GSM Mo na Manji

Siasa yetu imekuwa ya kipumbavu sana
Manji hana time na Yanga hao GSM wasiwe na shaka kumbuka Manji karejea Tanzania kuja kuangalia mambo yake binafsi siyo club wala chochote, hofu za kudai haki zake zilizoporwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani ndiyo imepelekea Takukuru utumike kumtisha aogope kudai haki zake
 
Shukrani kwa kutuelimisha,
 
Hii nchi ya ajabu sana. Kwa nini wasichunguze waliichukua pesa kwenye magunia?. Waliosukuma kwenye matoroli
 
Msije kushangaa kesho kutwa anaingia ikulu kuzungumza na mama
Na kuombwa radhii.😂😂 duuh Kama itakuwa ivyo basi tutakuwa tumeonekana wadanganyika ni nyuki wa canteen
 
Visasi visasi visasi tunatengeneza taifa la visasi yanga walikuwa na ela gani ambayo manji alibeba?

Upumnavu mtupu hii ni vita ya kibiashara baina ya GSM Mo na Manji

Siasa yetu imekuwa ya kipumbavu sana
Tulia mamlaka zifanye kazi. Kama hana hatia ataachwa huru.
 
Hii nchi ya ajabu sana. Kwa nini wasichunguze waliichukua pesa kwenye magunia?. Waliosukuma kwenye matoroli
Ununuzi wa Ndege ujenzi wa chato Airport kuna ufisadi mkubwa kuliko huko waanze na hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…