Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

Ha haa. Makamba usiwe na shaka na ajira ya January. Endelea kula pensheni na kulea wajukuu kwa amani.
Nakazia wa Tanga wanasema wao wana Tunu 4 wanazitambua Serikalini Ummy Mwalimu, February Marope, Mwana FA aka Mwijuma na ..............

Kwa hio February Marope ni Tunu kwa watu wa Tanga,
 
Katiba mpya imeanza kudaiwa muda mrefu sana na upigaji na ubadhirifu ni miongoni mwa sababu kuu za watu kudai katiba mpya !! Kwa watanzania wengi Katiba mpya sio kwa ajili ya kupata Uongozi wa kisiasa !!
 
Kweri Mzee Makamba aka mramba asali....watu wazuri hawaafi kama Jiwe.
 
Hatumfundishi kima kudandia miti, tunataka hatua stahiki zichukuliwe kwa wote narudia tena kwa wote pasina kumuacha yeyote kati ya waliohusika kwenye ubadhirifu wa mali ya umma. Huyu mzee ni kumanina!
 
Katiba mpya imeanza kudaiwa muda mrefu sana na upigaji na ubadhirifu ni miongoni mwa sababu kuu za watu kudai katiba mpya !! Kwa watanzania wengi Katiba mpya sio kwa ajili ya kupata Uongozi wa kisiasa !!
Katiba Mpya ni ya kulilia vyeo Wanasiasa ili ikibidi kila mtu awe na wabadhirifu wake. Kimsingi haya yoooote yangetakiwa kuingia kwenye Ilani, yaani tundulissu (mathalani) yeye awe na Ilani moja tu: KATIBA MPYA, wachana na mambo ya afya wala ushirika wala pembejeo; wewe jikite KATIBA MPYA TU na wala usimtukane Rais. Je, atashinda? Hawezi, ndiyo maana tundulissu amengangania maridhiano ili walau apate nusumkate kama wa Raila. Mkiwachekea wataingiza serkali za ikabila aka majimbo, au serkali tatu, au mashoga au diaspora kupiga kura.
 
Umeona eeeh, Kenya wana Katiba Mpya yalotokea ni kielelezo tosha kuwa Katiba sio solution bali nia, dhamira na Utashi wa Watu. Afrika hakuna Upinzani bali kuna Ukinzani - Mbona Pangu pakavu?
 
Kuiba tunajua wanaiba, wengi hawakutegemea jinsi ya wizi ulivyo mkubwa kiasi hiki.
Sasahivi ni kama kuna mashindano ya wizi Serikalini.
 
Maoni uchwara ya mtu mwema ambaye hatakufa!!
 
Til 16 zinapigwa huko tukae mkao wa kuliwa.
Til 16🥲.
Jiwe mlisema 1.5 sasa 16 jamaa yuko hewani awatengeneze👊👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…