Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema Rais Samia Suluhu asifundishwe kufanya kazi aachwe kwani tayari hatua alizochukua ni sahihi.

Ni vyema kumpa nafasi mkuu wa nchi afanye kazi, kwa kuwa hadi sasa kila mmoja ameona na kusikia kuhusu uwezo wake katika utendaji wa juu kwa namna anavyoisimamia serikali na nchi kwa utashi, usikivu na kuwa na uamuzi wenye tija kwa maslahi ya Taifa.

"Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki....niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu watanzania ni kiongozi bora anatosha na kwa CCM tunaamini ndicho chama bora, wakae watulie sasa.

"Muhimu tumuombee kwa kuwa ni kiongozi makini anayeamua mambo kwa busara, msikivu na anajua hapa niseme nini, nifanye nini, angeamua kukaa kimya kwa hii ripori kufanywaa kwa kificho tusingejua, lakini kutokana na uchungu alionao kwa nchi akiwa kiongozi anayejiamini ameweka wazi na anaendelea kuchukua hatua bila kumuonea mtu." -aliongezea Mzee Yusuph Makamba.

ccm-2-pic.jpg
Mtumba huachi huo mshezigho wa CCM?
Eka nao huo.
 
Japo anaweza kuwa na pwenti, kwa nimjuavyo Makamba, ni mchumia tumbo na fisadi kama Kinana na wenzake
 
Tulia wewe!
Ungemwambia yule mtu wenu mkurupukaji asiye na akili Wala busara atulie ndio ingeleta maana Ili Nchi ipone.

Unafuta retention license za investors wakati tayari walisha commit funds kwenye exploration ya Madini matokeo ya kukurupuka ndio haya Sasa na uzuri yote haya yalianza while he was alive and counting..

Of course Tanzania ilipata hasara kubwa sana miaka ya Mwendazake.
Screenshot_20230322-182232.jpg
 
Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema Rais Samia Suluhu asifundishwe kufanya kazi aachwe kwani tayari hatua alizochukua ni sahihi.

Ni vyema kumpa nafasi mkuu wa nchi afanye kazi, kwa kuwa hadi sasa kila mmoja ameona na kusikia kuhusu uwezo wake katika utendaji wa juu kwa namna anavyoisimamia serikali na nchi kwa utashi, usikivu na kuwa na uamuzi wenye tija kwa maslahi ya Taifa.

"Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki....niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu watanzania ni kiongozi bora anatosha na kwa CCM tunaamini ndicho chama bora, wakae watulie sasa.

"Muhimu tumuombee kwa kuwa ni kiongozi makini anayeamua mambo kwa busara, msikivu na anajua hapa niseme nini, nifanye nini, angeamua kukaa kimya kwa hii ripori kufanywaa kwa kificho tusingejua, lakini kutokana na uchungu alionao kwa nchi akiwa kiongozi anayejiamini ameweka wazi na anaendelea kuchukua hatua bila kumuonea mtu." -aliongezea Mzee Yusuph Makamba.

ccm-2-pic.jpg
Chawa anayepigania nafasi ya January
 
Katiba Mpya ni ya kulilia vyeo Wanasiasa ili ikibidi kila mtu awe na wabadhirifu wake. Kimsingi haya yoooote yangetakiwa kuingia kwenye Ilani, yaani tundulissu (mathalani) yeye awe na Ilani moja tu: KATIBA MPYA, wachana na mambo ya afya wala ushirika wala pembejeo; wewe jikite KATIBA MPYA TU na wala usimtukane Rais. Je, atashinda? Hawezi, ndiyo maana tundulissu amengangania maridhiano ili walau apate nusumkate kama wa Raila. Mkiwachekea wataingiza serkali za ikabila aka majimbo, au serkali tatu, au mashoga au diaspora kupiga kura.
Duh 🙄 !
 
Huyu mzee Atakufa Lini ?
 
Mmh !
 
Back
Top Bottom