Zaa kwa mahesabu, sio uzae watoto waje kufanywa Watumwa huku Duniani

Acha tu mkuu. Huu ni ukweli mchungu.

Lakini ni afadhari kwa sasa vijana wengi hawazai kwasababu tu watotot waje wawasaidie. Wengi mtazamo umebadilika.

Japo walio na mawazo ya kusaidiwa na watoto wao bado wapo.
Mtoto humsomeshi, afya duni akifika miaka kadhaa tu hata sio 18 anaanza kujitegemea kwakua wewe mzazi huna msaada. Halafu unataka ule matunda kindezi.
 
🀣🀣🀣
Ati kindezi
 
huu uzi nimeuifadhi umenifanya nifikiri nje ya box kwa kiasi kikubwa sana Mungu akubariki sana brother karibu sana Canada.
 
Maisha hayana kanuni wewe bwabwaja ulale.
Kuna mtu kazaliwa peke yake lkn wazazi wameshindwa kumtunza na sasa ni kuli.
Kuna wapo walizaliwa wawili na wazi matajiri lkn sasa mwingine kahaba na mwingine mbwia unga.

Nwabwaja roho yako isuuzike ulale
 
Wengine tunazaa ili kuanzisha Koo zetu wenyewe zistawi.

Baada ya 90% ya Wana ukoo kupungua kutokana na uzazi wa mpango.

N.B
Mashamba tumerithi, nasi tutarithisha
Ila muhimu elimu na nyenzo za maisha
 
Zaa ili wahindi wapate vibarua, sio kosa.

Ila Kwa watu wenye upendo hawawezi zaa watoto wengi ambao hawawezi Kuwatunza.
Na majitu makatili tuu ndio wanaweza fanya hivyo
 
Wengine tunazaa ili kuanzisha Koo zetu wenyewe zistawi.

Baada ya 90% ya Wana ukoo kupungua kutokana na uzazi wa mpango.

N.B
Mashamba tumerithi, nasi tutarithisha
Ila muhimu elimu na nyenzo za maisha

Elimu pekee haitoshi.
Dunia ya sasa mtoto unatakiwa umuachie na Miradi ya kuzalisha Mali mbali na elimu yake.
 
huu uzi nimeuifadhi umenifanya nifikiri nje ya box kwa kiasi kikubwa sana Mungu akubariki sana brother karibu sana Canada.

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
Mimi nimetoa Tu angalizo.
Maana unaweza jikuta unajivunia kuzaa watoto wengi lakini ukija kujiuliza umezaa kina Nani kumbe umezaa misukule inayotumikishwa na wahindi
 
Zaa ili wahindi wapate vibarua, sio kosa.

Ila Kwa watu wenye upendo hawawezi zaa watoto wengi ambao hawawezi Kuwatunza.
Na majitu makatili tuu ndio wanaweza fanya hivyo
Sijakwambia nazaa hovyo lkn bandiko lako sio kanuni.
Maisha ni siri ngumu sana.
Wewe jiandikie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…