Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Nimekazia hapoSanasana watoto wa kike na kiume..... watoto wengine ni wapi Boss ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekazia hapoSanasana watoto wa kike na kiume..... watoto wengine ni wapi Boss ?
Kiufupi hakuna binadamu ambaye si mgonjwa au hajawahi kuumwa au hatoweza kuumwa,. naiona kesho ya watoto wangu viwete, waathirika wa Hiv, vipofu, viziwi na wa magonjwa ya akili (ubongo) kwa upande wangu dawa ya yote haya na KUTOZAA KABISAKwamba wewe ni mgonjwa na unaogopa utamuambukiza?
... na wapemba.
Acha tu mkuu. Huu ni ukweli mchungu.ZAA KWA MAHESABU, SIO UZAE WATOTO WAJE KUFANYWA WATUMWA HUKU DUNIANI!
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi!
UTUMWA!
Usukule!
Kutumwa tumwa! Kuvujishwa jasho pasipo malipo, Kulambishwa mavumbi ya viatu pasipo utu. Kuimba pambio katika wimbo wa walao nchi.
Manamba na vibarua wa mashamba, HAO ndio utakaowazaa waje kujambishwa na watoto wa wenzako? Sitaki majibu Yako hapa! Baki nayo.
Zaa Kwa Hesabu zenye jawabu. Sio uzae kama panya, kuzaa watoto wengi Kwa Zama hizi bila Hesabu sio tuu kukosa upendo Bali ni ukatili Kwa watoto wako.
Katika ulimwengu WA teknolojia na Ujuzi na maarifa wingi sio hoja Bali vioja.
Unakuwa na watoto wengi ambao wanatumikishwa kwenye viwanda Kama randa la mbao ndivyo wanavyoranda Randa wakinuka jasho.
Nazaa watoto Saba, najiita kidume kwenye mfumo dume.
Taikon sina shamba wala kiwanja, lakini ninawatoto Saba.
Haipendezi kuzaa watoto waje watumikishwe na kuteswa alafu mzazi bila aibu nawe Kwa ukatili mtoto unamnyonya zaidi mwanao licha yakuwa kipato chake ni duni.
Huo ni ukatili, unyanyasaji na ukosefu wa utu.
Tuzae Kwa Hesabu.
Watoto ambao tunauwezo wa Kuwatunza na kuwaandalia maisha MAZURI na Urithi ili wasiwe Watumwa.
Sio unazaa wapiga Kura wa watoto wa wenzako waluoandaliwa.
Sio anazaa watoto ambao watakuja kuwa vibarua.
Sisemi Kwa ubaya, au kupangia mtu Maisha.
Ila Kwa kweli hakuna kitu kibaya Kwa mzazi mwenye upendo kuona umezaa watoto ambao umewaleta kuja kuteseka na kuteswa na wanadamu wengine.
Mzazi asiye na upendo WA dhati hawezi ona uchungu Kwa mwanaye.
Kwani wengi huzaa Kwa ubinafsi wao tuu. Wakitaka watoto wao waje wawasaidie baadaye lakini hawataki kuwaandaa watoto hao kuishi maisha MAZURI.
Huo ni Ubinafsi na ukatili.
Kama huna uwezo wa kuandaa watoto waishi maisha mazuri, zaa Kwa hesabu. Watoto wachache wanaokutosha.
Jitahidi uangalie Quality zaidi kuliko Quantity.
Sio mtu unajivunia unawatoto wengi lakini watoto uliozaa ni Watumwa, misukule, na watu wanaoteswa na watu wengine.
Zamani watu walizaa watoto wengi Kwa sababu walikuwa wanauwezo wa kuwarithisha mashamba, maboma, na Urithi mwingine.
Lengo jingine na kuleta nguvu kazi katika jamii.
Lakini vipi Zama za leo?
Je tutazaa Kondoo wengi ambao wataongozwa na Simba mmoja?
Au tutazaa Simba mmoja kuongozwa Kondoo wengi?
Au tutazaa Simba wengi kutawala Mbuga?
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Acha tu mkuu. Huu ni ukweli mchungu.
Lakini ni afadhari kwa sasa vijana wengi hawazai kwasababu tu watotot waje wawasaidie. Wengi mtazamo umebadilika.
Japo walio na mawazo ya kusaidiwa na watoto wao bado wapo.
Mtoto humsomeshi, afya duni akifika miaka kadhaa tu hata sio 18 anaanza kujitegemea kwakua wewe mzazi huna msaada. Halafu unataka ule matunda kindezi.
huu uzi nimeuifadhi umenifanya nifikiri nje ya box kwa kiasi kikubwa sana Mungu akubariki sana brother karibu sana Canada.ZAA KWA MAHESABU, SIO UZAE WATOTO WAJE KUFANYWA WATUMWA HUKU DUNIANI!
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi!
UTUMWA!
Usukule!
Kutumwa tumwa! Kuvujishwa jasho pasipo malipo, Kulambishwa mavumbi ya viatu pasipo utu. Kuimba pambio katika wimbo wa walao nchi.
Manamba na vibarua wa mashamba, HAO ndio utakaowazaa waje kujambishwa na watoto wa wenzako? Sitaki majibu Yako hapa! Baki nayo.
Zaa Kwa Hesabu zenye jawabu. Sio uzae kama panya, kuzaa watoto wengi Kwa Zama hizi bila Hesabu sio tuu kukosa upendo Bali ni ukatili Kwa watoto wako.
Katika ulimwengu WA teknolojia na Ujuzi na maarifa wingi sio hoja Bali vioja.
Unakuwa na watoto wengi ambao wanatumikishwa kwenye viwanda Kama randa la mbao ndivyo wanavyoranda Randa wakinuka jasho.
Nazaa watoto Saba, najiita kidume kwenye mfumo dume.
Taikon sina shamba wala kiwanja, lakini ninawatoto Saba.
Haipendezi kuzaa watoto waje watumikishwe na kuteswa alafu mzazi bila aibu nawe Kwa ukatili mtoto unamnyonya zaidi mwanao licha yakuwa kipato chake ni duni.
Huo ni ukatili, unyanyasaji na ukosefu wa utu.
Tuzae Kwa Hesabu.
Watoto ambao tunauwezo wa Kuwatunza na kuwaandalia maisha MAZURI na Urithi ili wasiwe Watumwa.
Sio unazaa wapiga Kura wa watoto wa wenzako waluoandaliwa.
Sio anazaa watoto ambao watakuja kuwa vibarua.
Sisemi Kwa ubaya, au kupangia mtu Maisha.
Ila Kwa kweli hakuna kitu kibaya Kwa mzazi mwenye upendo kuona umezaa watoto ambao umewaleta kuja kuteseka na kuteswa na wanadamu wengine.
Mzazi asiye na upendo WA dhati hawezi ona uchungu Kwa mwanaye.
Kwani wengi huzaa Kwa ubinafsi wao tuu. Wakitaka watoto wao waje wawasaidie baadaye lakini hawataki kuwaandaa watoto hao kuishi maisha MAZURI.
Huo ni Ubinafsi na ukatili.
Kama huna uwezo wa kuandaa watoto waishi maisha mazuri, zaa Kwa hesabu. Watoto wachache wanaokutosha.
Jitahidi uangalie Quality zaidi kuliko Quantity.
Sio mtu unajivunia unawatoto wengi lakini watoto uliozaa ni Watumwa, misukule, na watu wanaoteswa na watu wengine.
Zamani watu walizaa watoto wengi Kwa sababu walikuwa wanauwezo wa kuwarithisha mashamba, maboma, na Urithi mwingine.
Lengo jingine na kuleta nguvu kazi katika jamii.
Lakini vipi Zama za leo?
Je tutazaa Kondoo wengi ambao wataongozwa na Simba mmoja?
Au tutazaa Simba mmoja kuongozwa Kondoo wengi?
Au tutazaa Simba wengi kutawala Mbuga?
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
watoto wengine ni wale ambao hawana jinsia bossSanasana watoto wa kike na kiume..... watoto wengine ni wapi Boss ?
unazaa kwa kubeti? utachelewa sana mjubaKwenye hao kumi.
Lazima watatokea wakubutua kombolela.
Si wote watakuwa hivyo.
Maisha hayana kanuni wewe bwabwaja ulale.Kuna watu hawajali,
Wanaona kabisa Hali ngumu, wanaona kabisa hawana vitu vya kuwarithisha watoto wao, hasa Ardhi na mashamba ya uzalishaji,
Wanajiona kabisa wao ni misukule au Watumwa wanalipwa mishahara ya punda, lakini bado mtu anazaa watoto wengi ili wapatikane vibarua wengi zaidi wakutumikishwa.
Hiyo ni laana.
Kuzaa watoto wengi ni Enzi zile Ardhi ipo ya kutosha. Tena yenye rutuba. Unawakatia tuu vipande watoto wako.
Lakini siku hizi tabia ya nchi sio rafiki, hata ukimpa mtoto shamba bado anaweza kuhenyeshwa
nimesota nao saana kwenye makarasha na maduarani chunya na wnaendesha familia kwa kazi ngumu. Wengine pia wanamiliki planti na migodi
Binamu tulikua watatu mwenzetu katuacha.Utaambiwa kila mtoto anakuja na sahani yake
Maisha hayana kanuni wewe bwabwaja ulale.
Kuna mtu kazaliwa peke yake lkn wazazi wameshindwa kumtunza na sasa ni kuli.
Kuna wapo walizaliwa wawili na wazi matajiri lkn sasa mwingine kahaba na mwingine mbwia unga.
Nwabwaja roho yako isuuzike ulale
Wengine tunazaa ili kuanzisha Koo zetu wenyewe zistawi.
Baada ya 90% ya Wana ukoo kupungua kutokana na uzazi wa mpango.
N.B
Mashamba tumerithi, nasi tutarithisha
Ila muhimu elimu na nyenzo za maisha
huu uzi nimeuifadhi umenifanya nifikiri nje ya box kwa kiasi kikubwa sana Mungu akubariki sana brother karibu sana Canada.
Sijakwambia nazaa hovyo lkn bandiko lako sio kanuni.Zaa ili wahindi wapate vibarua, sio kosa.
Ila Kwa watu wenye upendo hawawezi zaa watoto wengi ambao hawawezi Kuwatunza.
Na majitu makatili tuu ndio wanaweza fanya hivyo
Wanaosema hivi, vichwa vyao vina umeme mdogo!Utaambiwa kila mtoto anakuja na sahani yake
Binamu tulikua watatu mwenzetu katuacha.