MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Bila migogoro mawakili wanakufa njaa. Dunia ni duara na kila tukio ni fursa kwa mwingine.Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.
Nawatakia kila la kheri.
Chakandumuz wamekua kama watoto waliokosa malezimigambo wanaruka na kukanyaga sio?🤣
kati ya hao wangapi wako kwenye mazoezi ya kitaalamu kwa vitendo yaani field?🐒
You don’t hate kitu kisicho na diraHaters
Haters keep hatred all the timeYou don’t hate kitu kisicho na dira
Hii ni kesi ya hovyo sana kwa hiyo ni sehemu ya Mawakili kujichukulia umaarufu wa bure.Lissu haitaji mawakili wote hao....
Ugaidi uliishia wapi?Chakandumuz wamekua kama watoto waliokosa malezi
They think sheria ni Kama ushabiki wa mpira kwamba Mawakili wakiwa wengi labda sauti zitakua kubwa na ndio watakua na better outcome
Na kupiga picha mwisho baada ha kusumbua maofisa atakuja DPP aseme imemshindaHii ni kesi ya hovyo sana kwa hiyo ni sehemu ya Mawakili kujichukulia umaarufu wa bure.
HaikuhusuWakiwa mawakili.800 haya elfu moja ndio nini?
Majaji huwa hawatishiki na uwingi wa mawakili hujikita kwenye taaluma
Waende hata milioni moja
mambo yanayo hitaji kutumia akili na mipango, wanayafanya kwa mihemko na makasiriko 🐒Chakandumuz wamekua kama watoto waliokosa malezi
They think sheria ni Kama ushabiki wa mpira kwamba Mawakili wakiwa wengi labda sauti zitakua kubwa na ndio watakua na better outcome
Hakuna hicho kitu, hata hivyo kwenye kesi mawakili lazima wajulikane na mahakama kablaTetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili wengine watajaaa tu kama kuuza sura na kuuza majina. Pia kuna wengine wanaweza kuwa mamluki.
Nawatakia kila la kheri.
sasa hii ikipigwa kalenda hadi December akitoka hakuna impact kwa nchi au serikali. lengo kuu la kumshikilia litakuwa limekamilikaHaikufutwa wala hakukua na matidhiano bali ingeisha bila mwafaka maana hakukuwa na kesi pale
Na Sentensi yako imebeba ujumbe mkubwa sana.., Siasa imekuwa about appearances na showoffs (cosmetics) na sio nitty gritty zinazombana mwananchi directly...Kesi yenyewe ni ya kisiasa
Nafikiri ni kuonyesha mshikamano tu lakini watakamwakilisha katika kesi hata 20 wanaweza wasifike.Too many cooks spoils the broth nadhani hao mia nane hata hamsini tu wangetosha alafu hao wengine kila mmoja akachukua kesi za kitaa hata kumi kumi tu, kwa wale wasio na uwezo wa kupata a good representation (nadhani they could have made a bigger difference)
mkuu wengi wa hao mawakili lengo ni kupata tu uzoefu wa kimahakama na hekaheka zake za kiuwakili na pia kuelewa kwa vitendo mashauri yanavyoendeshwa mahakamani lakini kubwa ni kuuza zura na kujiongezea CV kwenye profile zao binafsi kwa kesi walizoshiriki.Hivi hizi kesi a.k.a mashauri huwa ni nani huwa anayapa hadhi ya kuitwa hivyo?
Sasa kama mtu anafunguliwa kesi au shauri halafu anashinda kwanini yasingeitwa maneno au wazo au tuhuma tu?
Sasa mawakili 800 sasa wanapata muda wapi wa kila mmoja kuwasilisha utetezi wake???
Huo mshikamano ungeonyeshwa kwa vibibi vinavyohangaika kwa kunyanganywa mashamba huko au wale wazee wanozungushwa na kutokulipwa pensheni zao the world would have been a better place..., Ila ndio hivyo Siasa ishakuwa kama ulaghai tu (talking the talk and not walking the walk) no wonder watu wanaachana na siasa na kufanya mengineNafikiri ni kuonyesha mshikamano tu lakini watakamwakilisha katika kesi hata 20 wanaweza wasifike.
Mawakili wasio na kazi za kufanya ndio watajazana kuuza sura na kuonyesha show off ya suti zao na majoho ya kiwakili kugeuza mahakama kama sehemu ya fashion showNafikiri ni kuonyesha mshikamano tu lakini watakamwakilisha katika kesi hata 20 wanaweza wasifike.