Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

weka kapicha
 
Hahahah kwahio uliwatafuna sana eeh maana naskia Japan watu wako busy sana hadi wanasahau kupigana miti. 🤣🤣🤣
Usimwambie mwanamke wa kijapani maneno haya "Anata wa totemo utsukushi desu". Hapo unakuawa umelazimisha maongezi ambayo baadaye atakuuliza walichokuwa wanaita wakati huo Love Hotel. Ila wanawake wa kijapani waliwakuwa hawatoi hata senti moja wakishaamuwa kuwa wako; utalazimiak kulipia chakula na gharama zote wewe mwenyewe. Ukiwaingilia kichwa kichwa utarudi nyumbani bila kuwa hata na Corolla!
 

A.k.a wamekuja without a plan? Pathetic kwakweli
 
Hahahahahah hao hawafai, mbunye za blessing hamna huko zote zina invoice? 🤣
 

aisee mkuu mzee wangu aliishu japan miaka 3 akifanya kazi scrapyard maeneo mbali mbali nchini japan.mara ya kwanza alipelekwa na kampuni ya magari nchini zambia ila badae akapata konnections akaajiliwa kulekule wakti huo mimi nasoma.

Ngepost picha zake wakati yuko huko, ila si busara maana ni faragha kwake.

nafurahi kuona na ww uko na uzoefu, ngepata namba yako ngemtumia ili mubonge mawili matatu kuhusu japan.
 
NABAKI AFRIKA LTD.
Kuna binti mmoja nilikutana naye kwenye night club siku ya mwaka mpya nikiwa peke yangu siku zangu za mwisho mwisho ikiwa imebaki miezi miotatu tu nirudi nyumbani; nikamsifikia, basi ikawa nongwa. Kumbe alikuwa hakai Tokyo bali alikuwa anaishi Fukuoka, mbali sana na Tokyo. Kwa vile alikuwa pale na alikuwa ameshapanga chumba cha hoteli siku hiyo, akanikaribisha chumbani kwake mpaka asubuhi. Sasa aliporudi Fukuoka, kila jumamosi akawa anarudi tena Tokyo kwa air ticket yake ila hotel bills ziwe kwangu. Iliniudhi sana kwa vile nilikuwa najaribu kujaza container la kurudi nalo bongo na hayo matumizi ya kufurahisha chini niliwa sina interest nayo sana ila uume ukanipinguzia kidogo. Ningeweza kurudi na magari labda matatu wakati huo lakini nilirudi na mawili tu; wakati mwingine nadhani ni kwa sababu ya usumbufu huo kwani ulinikosesasha sana muda wa kufanya shopping za auto dealers na shippers siku za weekend.
 
Dah unyama sana, sema wakoje kwenye upande wa burudani? Wana vibe sana kama wa huku uzaramuni? 🤣
 
Uhuni ndio unatawala. Chawa ni viumbe wabaya tu. Kuna wamepiga hela kwa kuwalaghai hao kina mama au kufanya uchawa..ujinga tu.
Wanaleta uanaharakati kwenye urais ndio maana urais wa mama umejaa makandokando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…