Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

Kwa agano jipya hekalu sio jengo tu hata mwili wako ni hekalu la Mungu.

1Wakorintho 6:19
Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;

Kusema hekalu ni jengo la kipekee ni kufuata desturi/sheria za kale za Kiyahudi Ila kwa agano jipya hatuishi tena chini ya hizo sheria.
Mkuu Kuna watu sio wa kubishana nao watakupotezea muda tu
Doctrine zimewaharibu, ule utaji umewakalia kwahiyo hata hawaelewi unachosema😅
 
Hizo zilikuwa sheria za kale za Kiyahudi sio Sasa kwenye agano jipya.
Hizo sheria azikutumika hata kale kwenye masinagogi ...sijui uelewi nini ? Kipindi hicho kulikuwa na hekalu na masinagogi mengi tu ...wewe unajipofusha kusudi kwa kutoa hoja kana kwamba masinahogi haya kuwepo kipindi cha hekalu ...ndiyo maana nikakuambia kwanini zaka ilipelekwa hekaluni siyo kwenye masinagogi? ...unajifanya mweu kwa kuto kuelewa jambo lililo wazi kabisa ....wewe utakuwa ni jizi la makanisani ndiyo maana unakataa ukweli ulio dhahili
 
Mkuu Kuna watu sio wa kubishana nao watakupotezea muda tu
Doctrine zimewaharibu, ule utaji umewakalia kwahiyo hata hawaelewi unachosema😅
Kweli kabisa mkuu, ndio maana kina Mtume Paulo waliishia kuteswa na watu wa aina hii.
 
Hizo sheria azikutumika hata kale kwenye masinagogi ...sijui uelewi nini ? Kipindi hicho kulikuwa na hekalu na masinagogi mengi tu ...wewe unajipofusha kusudi kwa kutoa joja kana kwamba masinahogi haya kuwepo kipindi cha hekalu ...ndiyo maana nikakuambia kwanini zaka ilipelekwa hekaluni siyonkwenye masinagogi? ...unajifanya mweu kwa kuto kuelewa jambo lililo wazi kabisa ....wewe utakuwa ni jizi la makanisani ndiyo maana unakataa ukweli ulio dhahili
Hekalu ni mahali pa ibada katika dini ya Kiyahudi, wakati sinagogi ni jengo la ibada na kusanyiko la Kiyahudi lililotumika kwa sala na kufundisha Torati.

Hekalu kuu lililokuwepo lilikuwa Hekalu la Yerusalemu lililoharibiwa, na sinagogi ni vituo vya ibada vya jamii za Kiyahudi duniani kote.

Taratibu za ibada kwenye hekalu na Sinagogi hakuna tofauti yeyote maana yote hayo ni ya dini ya Kiyahudi tu.

Zaka kupeleka hekaluni tu ilikuwa ni sheria za Kiyahudi za kale ambazo kwa agano jipya hatupo tena chini ya sheria hizo ndio maana ni sahihi kabisa kupeleka zaka kanisani unapoabudu.
 
Sinagogi ndiyo kanisa kwa sasa ndiyo maana nikakuambia hekalu siyo kanisa wala sinagogi
 
Hekalu ni mahali pa ibada katika dini ya Kiyahudi, wakati sinagogi ni jengo la ibada na kusanyiko la Kiyahudi lililotumika kwa sala na kufundisha Torati.

Hekalu kuu lililokuwepo lilikuwa Hekalu la Yerusalemu lililoharibiwa, na sinagogi ni vituo vya ibada vya jamii za Kiyahudi duniani kote.

Taratibu za ibada kwenye hekalu na Sinagogi hakuna tofauti yeyote maana yote hayo ni ya dini ya Kiyahudi tu.

Zaka kupeleka hekaluni tu ilikuwa ni sheria za Kiyahudi za kale ambazo kwa agano jipya hatupo tena chini ya sheria hizo ndio maana ni sahihi kabisa kupeleka zaka kanisani unapoabudu.
Kumbe umekubari sasa kuwa zaka zilipelekwa hekaluni il
na hekalu siyo sinagogi wala kanisa ..pia sheria ya zaka ...kasome mungu alisemaje ? Siyo wayahudi walio panga wao zaka wala pa kupelekwa zaka ni mungu hivyo ukisema sheria za kiyahudi unadangaya zaka na kanuni zake zote ni sheria za mungu mwenyewe....wacha ukristo wa maji taka wa mungu mwenye nafsi 3
 
Kwanini unakataa nafsi tatu za Mungu?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kanisa la Kristo ni zaidi ya Sinagogi na Hekalu.
Ilo kanisa la rohoni lipo toka agano la kale kumbuka wapo watakatifu walio fukuzwa israel kama daudi ...ila mungu alikuwa ndani yao .....hapa tunazungumzia nyumba za ibada zilizo fanyika kwa mikono siyo za rohoni usichanganye mada kijanja
 
Kumbe umekubari sasa kuwa zaka zilipelekwa hekaluni il
na hekalu siyo sinagogi wala kanisa ..pia sheria ya zaka ...kasome mungu alisemaje ? Siyo wayahudi walio panga wao zaka wala pa kupelekwa zaka ni mungu hivyo ukisema sheria za kiyahudi unadangaya zaka na kanuni zake zote ni sheria za mungu mwenyewe....wacha ukristo wa maji taka wa mungu mwenye nafsi 3
Kwa Sasa hatuishi tena chini ya hizo sheria.

Wagalatia 5:18
Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.

Wagalatia 3:23
Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
 
Ilo kanisa la rohoni lipo toka agano la kale kumbuka wapo watakatifu walio fukuzwa israel kama daudi ...ila mungu alikuwa ndani yao .....hapa tunazungumzia nyumba za ibada zilizo fanyika kwa mikoni siyo za rohoni usichanganye mada kijanja
Wewe hujui hata unachokiandika.
 
Kwanini unakataa nafsi tatu za Mungu?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Injili ya kweli ndiyo iliyo kataa ...walio buni kuwa mungu anazo nafsi tatu ni wahuni wa makanisa walio uchafua ukristo kwa mauaji ya kutisha na uovu mwingi ...ndiyo hao walio kuja afrika tutufanya watumwa ....wewe ukishasema tu mungu ana nafsi tatu basi ujue umekuwa CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU.NI IBADA KAMA YA SANAMU TU
 
Sasa ni kwanini katika bible anatajwa Roho mtakatifu anatajwa Yesu na anatajwa Mungu baba?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sasa hatuishi tena chini ya hizo sheria.

Wagalatia 5:18
Lakini mkiongozwa na Roho, hampo chini ya sheria.

Wagalatia 3:23
Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.
Kama ni hivyo mbona sheria za zaka mnataka ? Au sheria mnazichambua nyinyi kua zipi mpo chini yake na zipi ampo chini yake ...uwezi kusema sheria za HEKALU NI HARAMU KWA SASA ILA SHERIA YA ZAKA YA HEKALU NI HALALI.
 
Sasa ni kwanini katika bible anatajwa Roho mtakatifu anatajwa Yesu na anatajwa Mungu baba?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hayo mimi nayajua vizuri sana na maana yake
1)Mungu ni mungu
2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi 2)
 
Kama ni hivyo mbona sheria za zaka mnataka ? Au sheria mnazichambua nyinyi kua zipi mpo chini yake na zipi ampo chini yake ...uwezi kusema sheria za HEKALU NI HARAMU KWA SASA ILA SHERIA YA ZAKA YA HEKALU NI HALALI.

Zaka ni lazima kutoa kwa faida yako mwenyewe ili kuepuka laana.

Malaki 3:8
Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.

Malaki 3:9
Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.

Malaki 3:10
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.

Malaki 3:11
Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

Malaki 3:12
Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.

Asiyetoa zaka ni sawa na anayekula chakula chote bila kuhifadhi akiba (mbegu).

Kanisa la sasa lina mamlaka na ukuu kuliko hekalu la kale.
 
Hayo mimi nayajua vizuri sana na maana yake
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi 2)
Roho inakuwaje tena nafsi ?
 
Roho inakuwaje tena nafsi ?
Kitendo cha nafsi ya mungu kuwa ndani ya mwili wa mwanadamu wenye nafsi ya mwanadamu hicho kitendo ndiyo kinaitwa roho mtakatifu ...hivyo roho mtakatifu ni mungu kwa kuwa ni nafsi ileile ya mungu
 
2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu
Tofauti ya Mwili, nafsi na roho ni ipi?......tuambie tofauti zao na kazi ya kila kimoja na umuhimu wake (kama ukipata nafasi).
 
Hayo mimi nayajua vizuri sana na maana yake
1)Mungu ni mungu
2)Yesu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu usio na nafsi ya binadamu
3)Roho mtakatifu ni nafsi ya mungu ndani ya mwili wa binadamu wenye nafsi ya binadamu (nafsi 2)
Na vipi kuhusu nafsi ya Mungu mkuu ambae hakuna binadamu ambae amewahi kuiona kamwe iketiyo mahali patakatifu juu mbinguni?

Back
Top Bottom