Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

Kila ligi lilitolewa kombe tofauti.
Tupeni pichaa!

Na je kujihesabia Ubingwa wa Bara ambao haukuwa na uwakilishi wowote zaidi ya kukupeleka katika Mashindano ya Muungano na kuacha kuhesabu Ubingwa wa Muungano ambao ndiyo ulikuwa unatoa uwakilishi ni sahihi au ni janja tu ya kucheza na takwimu niliosema huko juu?
 
Kwani Title ya thread imesemaje?

Mi nimenukuu makala ya Zakazakazi bila kuongeza chochote ila kama una maswali kumbuka utakuwa unamuuliza mtu asiye sahihi.

Lakini kwa faida ya mjadala nitakuwa najibu yale ambayo mimi nayajua, hayo mengine tuzidi kumpa muda Zakazakazi atakuja na majibu maana bado hajamaliza.

Kuhusu timu za Zanzibar kushiriki ligi ya muungano mi nitakujibu kwa kuonesha ages za timu kutoka Zanzibar kuonesha uwezekano wa hilo kuwepo.

1932 African Sports
1936 Small Simba SC (Zanzibar)
1942 Malindi SC
1945 Miembeni SC (Zanzibar)
1953 Jamhuri SC
1954 Mwenge SC
1957 Ujamaa SC (Makinduchi)
1965 KMKM SC (Zanzibar)

So nikija kwenye swali lako utaona duration ambayo mashindano yalifanyika ni muda ambao tayari kulikuwa kuna Club kongwe tangu muda mrefu zinatambulika Zanzibar.
 
Kumekuchaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Zakazakazi ameamua kufumua mshonooooooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zaka ameitendea kazi taaluma ya uandishi wa habari, waandishi wetu wengi wanaaminishwa na kuamini bila kufanya utafiti. Hongera kwake Zaka za kazi.

Vv
 
Vigezo kwa muktadha upi?

Yani kwamba TFF ambaye ni mwanachama wa CAF haya yote hawakuyajua?

Na mbali wameenda hadi kumpotosha raisi wa nchi kwa kumpa taarifa za uongo?
 
Kwa takwimu zako ukiunganisha na hoja ya Zaka maana yake ubingwa wa Yanga mara 29 na Simba mara 22 hauna uhamisia. Maana yake ni kuwa tunatakiwa tupate data za ukweli, hizi za ubingwa wa Simba na Yanga zimepikwa.

Vv
 
Kwahiyo tffa nao hajui maana ishu tu ya kuingia finally yanga yakaja mafile ya simba kuingia finally 1993 hili la ligi vipi mbona wamekaa kimya
 
ha
ta hii taarifa
Hata hii taarifa siyo ya kweli, 1986 Tukuyu Stars ilipanda daraja na kubeba ubingwa, lakini hapo haionekani
Mtibwa kachukua ubingwa mara 2 hapo hayupo
 
ha

ta hii taarifa

Hata hii taarifa siyo ya kweli, 1986 Tukuyu Stars ilipanda daraja na kubeba ubingwa, lakini hapo haionekani
Mtibwa kachukua ubingwa mara 2 hapo hayupo
Post ya 5 umeisoma?
 
ha

ta hii taarifa

Hata hii taarifa siyo ya kweli, 1986 Tukuyu Stars ilipanda daraja na kubeba ubingwa, lakini hapo haionekani
Mtibwa kachukua ubingwa mara 2 hapo hayupo
Bado hoja kuwa ubingwa wa hizo timu za Simba na Yanga kuwa mabingwa mara 22 na 29 SIO kweli zinazidi kupata mashiko.

Vv
 
Sihitaji ages za timu za Zanzibar bali nimetaka unioneshe uthibitisho wa timu za Zanzibar zikiwa zimeshiriki ligi ya muungano tokea mwaka 1965. Kigezo cha timu kuanzishwa tokea sio ndio kushiriki mashindano. Vipi kama hizo timu zilikuwa zinashiriki ligi ya kwao Zanzibar? Leteni uthibitisho wa timu za Zanzibar kushiriki ligi ya muungano tangu mwaka 1965
 

Hapa Zaka ana hoja aisee!
 
Statistic is like a bikini, it reveals that is interesting......
 
Vigezo kwa muktadha upi?

Yani kwamba TFF ambaye ni mwanachama wa CAF haya yote hawakuyajua?

Na mbali wameenda hadi kumpotosha raisi wa nchi kwa kumpa taarifa za uongo?
Acha kulalamika, habari za TFF zinahusu nini? Jibu hoja kuhusu ulinganifu
 
Uthibitisho zaidi unakuja kwenye makala zijazo kutoka kwa mwandishi wetu, stay tuned
 
Acha kulalamika, habari za TFF zinahusu nini? Jibu hoja kuhusu ulinganifu
Ni kwamba umepinga acknowledge ya TFF kuhusu rekodi ya Simba kucheza fainali kwa hoja ya kwamba wamekosea wao ni binadamu.

Sasa nikuulize ni chanzo kipi ambacho wewe umekitumia kupata hayo maelezo ambayo timu nzima ya TFF na uongozi wa Yanga haukuweza ku obtain hizo data?
 

Sio kupinga acknowledge ya TFF kuhusu kucheza fainali. Bali nachopinga mimi ni kwamba ulichokisema wewe ni kwamba umemnukuu raisi wa TFF akisema kuwa Yanga imekuwa timu ya pili kucheza michuano ya kombe la shirikisho CAF ni Kitu ambacho sio sahih, kwa Tanzania, Yanga ndo timu pekee iliyocheza fainali ya kombe la shirikisho Caf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…