Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #241
Kwasababu gani?Sio kupinga acknowledge ya TFF kuhusu kucheza fainali. Bali nachopinga mimi ni kwamba ulichokisema wewe ni kwamba umemnukuu raisi wa TFF akisema kuwa Yanga imekuwa timu ya pili kucheza michuano ya kombe la shirikisho CAF ni Kitu ambacho sio sahih, kwa Tanzania, Yanga ndo timu pekee iliyocheza fainali ya kombe la shirikisho Caf
Kwasababu ya jina la michuano kutambulishwa rasmi 2004 baada ya kuunganisha mashindano mawili?