Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

Kwasababu gani?

Kwasababu ya jina la michuano kutambulishwa rasmi 2004 baada ya kuunganisha mashindano mawili?
 
Ilicheza na timu gani?
 
Kwasababu gani?

Kwasababu ya jina la michuano kutambulishwa rasmi 2004 baada ya kuunganisha mashindano mawili?
Sababu
1) muundo wa caf cup haukufanana na caf confederation cup
2) hadhi ya mashindano ya caf cup haikuwa sawa sawa na caf confederation cup ( haikuwa mashindano ya pili ya ukubwa ngazi ya vilabu na ndio maana mshindi hakuwa akicheza ufunguzi wa msimu mpya wa interclub championship.
 
Sasa vilitumika vigezo gani kuunganisha hilo shindano kuunda CAF Confederation Cup?
 
Namba hazidanganyi ila zinapotosha
 
African Sports haikuwahi kuchukua ubingwa wa ligi ?
 
Hizi data sio za kweli

Majimaji,Mtibwa,Prison,Coastal ,Azam zimechukua ubingwa mara moja moja tu na hakuna timu ya Zanzibar iliyochukua ubingwa wa bara 1993 Yanga ndio alikuwa Bingwa akaenda Uganda kuchukua kombe la Africa Mashariki
Mtibwa alichukua ubingwa 1999 na 2000
 
kombe la shirikisho limeanzishwa miaka ya 2000+ baada ya kuunganisha mashindano mawili ya cup winners na caf cup
 
Hongereni Yanga kwa kupata kikombe cha CAF.
Bila kuficha kwa sasa Yanga ndio Timu Bora Afrika.
 
Ubora wa Yanga unaupimaje?
Imekua club bora kuanzia mwaka gani?
Na imeanzishwa lini?
 
Halafu huyu majimaji mwaka 98 hakuchukua muuongano kweli?
 
kombe la shirikisho limeanzishwa miaka ya 2000+ baada ya kuunganisha mashindano mawili ya cup winners na caf cup
CAF wanaleta kizungu zungu mashindano yanaunganishwa aje? waseme yalifutwa lika anzishwa shindano jipya
 
CAF wanaleta kizungu zungu mashindano yanaunganishwa aje? waseme yalifutwa lika anzishwa shindano jipya
yaliunganishwa kwa sababu washiriki wa caf cup na wale wa winners cup wote wanashiriki confederation cup.....

mfano kwa tanzania, (tanganyika)

Champions league anaenda bingwa wa ligi,
Winners Cup anaenda bingwa wa ASFC,
CAF Cup anaenda alieshika nafasi ya pili kwenye ligi (kama hajawa bingwa wa ASFC, otherwise wa nafasi ya 3 kwenye ligi)


kwenye muundo mpya
Bingwa na 2nd team kwenye ligi wanaenda CL,..
3rd team na bingwa wa ASFC wanaenda CC....

mpk hapo utagundua waliunganisha winners na CAF cup
 
Hapo kwenye list ya mabingwa ya Zakazakazi kuna Tukuyu stars na Mtibwa ambao wamesahaulika
Na kama sikosei mtibwa alichukua back to back Enzo za Alina Alphonse modest, mercky mexime na abdalah juma
 
Mfano wako umejikita kwenye association 12 tu umeacha association zaidi ya 40 ambapo mshindi wa pili hachezi klabu bingwa na hana kigezo cha kucheza mashindano ya CAF labda itokee bingwa wa ligi kuu awe ndio bingwa wa FA. na hapo hapo kuna kuna association zingine ikitokea mazingira kama hayo hawamchukui 2nd team kwenye ligi kuu bali wanamchukua runner up wa FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…