Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

Mimi sikutaka niongeze kitu kwenye maneno ya mtu ndio maana nikaiacha kama ilivyo.

Kwenye Comments nimetoa dokezo kuama sehemu ya masahihisho kwa kukosekana baadhi ya timu ambazo ziliwahi kuchukua ubingwa.

Tatizo la mtu kusahau haiondoi uhalisia wa hoja yote. Na bado kumbuka makala haijafika mwisho pengine hayo unayoyasema wewe kuwa hajayaandika aliweza kuja kuyaandika post zijazo.
 
Zaka za Kazi anajidhalilisha bure, takwinu ziko sahihi ila alivyo pimbi anakokotoa mabingwa kama calculus. Anachanganya mabingwa wa Bara na Muungano, atuambie ni mwaka gani Malindi ilishiriki ligi ya Bara umbwa huyu.
Zaka yupo sahihi, takwimu hazipo sahihi hizi....

yanga 29
simba 22
total 51.......

haya timu zingine zilichukua ubingwa gani?
yanga na simba wamechanganya data
 
Sasa kama sio ligi kuu mbona watu wamezipigia mahesabu kwenye trophies zao za ligi kuu?

Hakuna timu iliyojumuisha hilo kombe,So Small Simba,Mlandege nao walishachukua ubingwa wa ligi kuu (hawa walishachukua ubingwa wa Muungano)

Kombe la Muungano lilikuwa linafanyika baada ya kuisha kwa ligi ya bara na ligi ya Zanzibar ( so mabingwa wanajulikana) na ndio ilikuwa platform ya timu za bara kusajili wachezaji toka Zanzibar ,haya mashindano yalitumika kupata wawakilishi wa Tanzania kimataifa kumbuka CAF walikuwa hawaitambui Zanzibar

Statistics never lie but Liars use statistics to lie
 
Kutuambia kwamba African sport na Pamba fc zilishawahi kuwa mabingwa wa ligi yetu ya bara ni uongo mkuu. Wala binafsi sihitaji kuendelea kuona na makala zake za upotoshaji.
 
Zaka yupo sahihi, takwimu hazipo sahihi hizi....

yanga 29
simba 22
total 51.......

haya timu zingine zilichukua ubingwa gani?
yanga na simba wamechanganya data
Na sisi Simba tumekubali kuwa kweli kuna sintofahamu hapo kwenye ishu ya ubingwa.

Yanga ndio wamekuwa wabishi sijui hofu yao iko wapi?

Wanafikiri tunaweza kuwafikia na kuwapita

Wako very insecure
 
Zaka za kazi ni shoga
 
YANGA BINGWA
1968
1969
1970
1971
1972
1974
1981
1983
1985
1987
1989
1991
1992
1993
1996
1997
2002
2005
2006
2007/8
2008/9
2010/11
2012/13
2014/15
2015/16
2016/17
2021/22
2022/23
 
Huyu Zaka kama ana mke....basi huyo mke ajiandae kupeleka chakula mirembe
 
Hii hapa ni list ya mabingwa

Sasa nataka unihesabie miaka ambayo Yanga katwaa ubingwa halafu uniambie Yanga amechukua mara ngapi

 
Ukihesabu hapa unaona kabisa Yanga kachukua ubingwa mara 24
 
Hii hapa ni list ya mabingwa

Sasa nataka unihesabie miaka ambayo Yanga katwaa ubingwa halafu uniambie Yanga amechukua mara ngapi

View attachment 2658336
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Matatizo ya akili hayo.

1985 YANGA ALIKUWA BINGWA TANZANIA BARA
1986 TUKUYU STARS ALIKUWA BINGWA TANZANIA BARA.

MAJIMAJI AMECHUKUA KOMBE MARA 1 TU MWAKA 1998.

1991
1992
1993
Yanga alichukua kombe miaka yote.

Unajidharilisha we mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…