Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Ohoo kumbe unajua kuwa mkataba una mapungufu, yes na hili ndilo watu wanalipigia kelele na si muwekezaji Bali vifungu vinavyoifunga nchi yetu katika mkataba ule. Ukisahihishwa mwarabu aendelee
Mnapigia kelele eti Serikali isimpe private operator na hasa Waarabu Sasa sijui mnamaanisha nini..

Mwisho nawakumbusha tuu bila Zambia na DR Congo ,Dar Port ni tembo mweupe la sivyo tukuze sana uchumi wa ndani.
 
Just by starting this thread, you are insulting your own common sense and prove to the world that you do have a very low IQ, and mostly probably your APGAR score must have been low by then. Kwamba hoja yako ni kwamba we have to accept the claptrap contract for the sake of doing business with Congo and Zambia..?? Like are you for real...?
 
Congo wana bandari, lakini umbali kutoka bandari Kinshasa na maeneo mengine ya nchi ndiyo yaliyopelekea Congo DRC kutumia bandari ya Dar es salaam. Pia Congo DRC, kama nchi haipo connected ma miundo mbinu ya barabara.
Zambia pia kwa ni rahisi kusafirisha mizigo kutoka Lobito hadi Zambia, pia kuna maeneo ya Congo DRC ni rahisi kutoa mizigo kutoka Lobito hadi huko.
Wakati nyie mmeiua reli ya TAZARA, Angola wamejenga Benguela rail hadi Congo DRC.

So usijiongelee tu ili mradi, bali jielemishe vya kutosha maana umetamani mwenyewe kuongea kuongea kwenye audience hivyo lazima uwe well composed.
Nimekutumia kielelezo ili ujielimishe zaidi.
 
Hao watu wachache ni wapi,mpaka Rais na Serikali yake washindwe kuwadhibiti?.Sasa kuna maana gani ya MTU kuwa Rais halafu watu wanachezea nyenzo za uchumi unawaangalia?
Kwa nini upeleke lawama zako kwa hao watu wachache na sio aliyopewa dhamana ya kusimamia?
 
Mie nawashangaa sana hawa watu,wanatengeneza matatizo kisha wanajitoa na kutafuta njia za kuendelea kuiba kwa mgongo wa kutatua matatizo.
Reli ya TAZARA ilijengwa kitambo hicho kwa lengo la Ku facilitate trade kati ya Zambia na Tanzania.

Wameua reli,ambapo mizigo ingekuwa inafika Zambia kwa gharama nafuu kwa makusudi kabisa ili malori yao ya mizigo yafanye kazi.

Tanzania ni Nchi ya matahira sana-kuanzia viongozi mpaka Wananchi.
 
DP world ni wahuni.
 
Kwa nini Serikali ikichukua hatua mnapinga?
 
Kwani ufanisi wa bandari ni mpaka bandari ipewe watu kwa mikataba ya hovyo!?

Kwani haiwezekani kuongeza ufanisi kwa kuongeza tu uwekezaji na usimamizi!??

Halafu kwanini unaita watu wajinga kisa wewe umekubali mkataba huo!?

Haujawaza kuwa inawezekana wewe ukawa wrong pia?
 
Unadhani Bandari zetu na reli zetu zikiwa na ufanishi itakuwa shida kusafirisha mizigo kutoka Dsm kwenda Congo na Zambia?
 
Kama kuna ufanisi unadhani kwa nini wenzenu wanaenda kwingine?
 
Just prove how claptrap it is?
 
Msimamo wetu wananchi uko pale pale sehemu za makubaliano zenye ukakasi ziwekwe sawa kama itashindikana basi tutafute mwekezaji mwingine hizi habari za kutuambia sijui Congo na Zambia wanaondoka hazibadilishi msimamo wetu juu ya mkataba wa kimangungo mlioingia
 
Huo sio msimamo! Huo ni ujinga? Wapi pana ukakasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…