Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Lobito ilikuwepo hata kabla ya Tazara, tatizo la Lobito ilikuwa Vita, vita ya wenyewe kwa wenyewe kule Angola ndiyo ilifanya disruption. Kwa hiyo usidanganye ati Lobito imeanza leo. Wachina hao hao waliojenga Tazara wamefanya repair ya Lobito railway.

Kuhusu DPW, sisi sote tunajua umuhimu wa uwekezaji, baadhi ya wenzetu wengi wanataka mkataba uboreshwe, sasa kuna ubaya gani kama kuna stakeholders (wananchi) wanataka mkataba uboreshwe sasa kuna tatizo gani hapo?
 
Anawapa uhuru ila msijambe sana.
 
Acha uongo, Zambia na Congo kuacha kutumia bandari ya Dar es salaama na kuhamia keingineko kamaNamibia au South Africa garama ni kubea mno zaidi ya mara 2 n hii ni kutokana na umbali ndio maana hata wakijaribu bado haiwezekani.

Kwani wao Zambi na Congo wamesema hawataki watanzania kuendesha bandari na wanawataka DPW ndio waendeshe bandari?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Tumekusikia waziri mbawaza. Lakini mbona bandari ya Zanzibar haiuzwi/haibinafsishwi?
 
Kama hao unaowasema ni wajinga, basi wewe utakuwa punguani au mwendawazimu. Maana huelewi hata kinachosababisha bandari ikose ufanisi.
 
Watafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!
Wapi imeuzwa au elimu ndogo?

TICTS ame-operates miaka kibao je ilikuwa imeuzwa?
 
Weka hapa hiyo mikataba iliyosiniwa huko kwingine unakokuongelea
Sina ujinga huo kwani wewe huwezi tafuta? Mbona DP World alikoshindana na wengine mumepata? Tafuta na anako operate mtaijua..

Mwisho nawakumbusha tuu,angalia umbali wa Dar- Lusaka na Dar-Lubumbashi vs Umbali wa Beira-Lusaka/Lubumbashi,Kusaka-Wolves Bay au Lusaka-Lobito likewise Lubumbashi..

Ni hivi tukicheza vibaya ndani ya miaka 10 ijayo zaidi ya nusu ya mizigo ya Zambia na DRC tutaipoteza.
 
Muwe mnaelewa hoja! Hakuna anayepinga uwekezaji wala uboreshaji wa Bandari ili kuleta ufanisi!

Hiyo haihalalishi kugawa Bandari zetu na kuingia ktk mikataba ya Kimangungo!
Kuelewa hoja, ni lazima uwe na akili timamu. Wewe umeona, miongoni mwa hawa makuwadi wa DP, kuna mtu mwenye utimamu wa akili? Huoni wote ni short sighted?
 
We mtu ngumbaru hiyo bandari hapo haitegemei hizo nchi,hizo nchi zinategemea hiyo bandari,
Wanaweza kutotumia hata kesho ila mzigo utateremka km kawaida uende mahali pake.
Huko mnataja hakukua na bandari?
Zipo maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…