Ishu sio kuandamana, unaandamana ili iweje? Binafsi siwezi kuandamana kisa ulaji wa mwanasiasa.CHADEMA wakiandama mnawacheka
Ishu sio kuandamana, unaandamana ili iweje? Binafsi siwezi kuandamana kisa ulaji wa mwanasiasa.
Maandamano kuipinga serikali yanapaswa kuendeshwa na wananchi bila kuhusisha wanasiasa na sio vinginevyo.
Inasikitisha sana mkuuNaongelea maandamano ya juzi kupinga mauaji ya raia. Si mlikuja kuwacheka CHADEMA eti maandamano hayakufanikiwa. Ngoja wauaji waendelee kuwamaliza
Mpaka atekwe mwanae ndio itaacha kuwa dramaYule bibi anskwambia hivi ni "vijidrama"
Amri Jeshi Mkuu aliyekuwa na nafasi ya kutoa kauli moja tu ya kukomesha mambo hayo.na yakakoma, ila hakutoa....kwanini asihusishwe na mambo hayo?JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Vp huyu wa sasaAmri Jeshi Mkuu aliyekuwa na nafasi ya kutoa kauli moja tu ya kukomesha mambo hayo.na yakakoma, ila hakutoa....kwanini asihusishwe na mambo hayo?
Na yeye analaumiwa hivyo hivyo. Kwani kauli ya kwamba "Sijawahi kuua mtu, labda sisimizi tu" ilitokana na nini kama siyo kushutumiwa kuhusia na huu Utekaji?Vp huyu wa sasa
Bara na visiwaniTanzania.
Hata yakiendelea awamu ijayo huyu wa sasa utasema alisingiziwa.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Unataka kusema Mhusika halisi ndio huyu wa Sasa .JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kama muuaji alikuwa jpm, sasa mbona bado hayo mambo yanaendelea wakati jamaa alishakufa?Unataka kusema Mhusika halisi ndio huyu wa Sasa .
Kama rais aliyepita alikuwa na mabaya bc tunataka kuona awamu inayofuata haina hayo mambo, sasa kama hayo mambo bado yapo yanaendelea bc ujue tatizo sio huyo kiongozi.Hata yakiendelea awamu ijayo huyu wa sasa utasema alisingiziwa.
Kila mtu na azibebe dhambi zake.
Kama muuaji alikuwa jpm, sasa mbona bado hayo mambo yanaendelea wakati jamaa alishakufa?
Hahahaha.... , lile JIWE halifai hata kunolea Kisu mkuu, we kubali tu kuwa yeye ndie mhasisi wa kuteka, kutesa na kuua.Kwamba enzi za Kikwete kurudi nyuma hapakuwa na haya mambo? Au ulikuwa bado mdogo?
Hujajibu swali mkuu😂Hahahaha.... , lile JIWE halifai hata kunolea Kisu mkuu, we kubali tu kuwa yeye ndie mhasisi wa kuteka, kutesa na kuua.
Kwa kauli zake inaonekana ni mkali want hizi kazi na Mao Alikuwa anasingiziwa ubaya.Kama muuaji alikuwa jpm, sasa mbona bado hayo mambo yanaendelea wakati jamaa alishakufa?
Polisi hawahawa waliohakikisha waandamanaji wanakamatwa?Kinachoshangaza ni kwamba Polisi hawatoi kabisa muongozo wa watu wafanye nini wanapokuja kukamatwa na askari kanzu....kama kweli wanaumia na kuhusishwa na haya mauaji wanapaswa kutoa muongozo wa kumtambua askari genuine ama la....kimya chao inaonyesha wana maslahi na hii hali
Inasikitisha sana mkuu 😎Polisi hawahawa waliohakikisha waandamanaji wanakamatwa?