Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nyie!View attachment 2761904
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwamba wa Siasa za Tanzania , ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto , Freeman Mbowe , amehudhuria mkutano wa Faragha wa wakuu wa vyama vya siasa unaofanyika Nchini Zanzibar .
Taarifa zinaonyesha kwamba lengo la Kikao hicho cha Siri ni kujadili sheria zitakazosimamia vyama vya siasa kuelekea uchaguzi wa 2024 /2025 .
Cha kushangaza ni kwamba Vyombo vyote vya Habari vya kimataifa vinamtaja Mbowe pekee huku viongozi wengine waliohudhuriwa wakiachwa .
Usiondoke JF , kwa vile Nzi wangu ndani ya kikao hicho yuko Tayari kuvujisha yatakayojili .
Unaandika nini wewe ?Nyie!
Dola ishaamua mkuu kwamba!
" Uchaguzi wa serikali za mitaa utasubiri HADI katiba mpya itakapo kamilika"
KWA uandishi wa Tumia akili humu humu jf kwenye uzi wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda "
SASA Mbowe anataka shiriki kikao cha marekebisho ya sheria Ili iweje!!?
Amelambishwa asali sio!!?
Ngoja tusubiri tuone tuone!!
Naandika nikijuacho jamaa!!Unaandika nini wewe ?
Hii ndio maana halisi ya JF , kuwa wa kwanza kupata taarifaKikao cha SIRI, halafu utavujisha yatakayojiri… Sawa.
Nani kasema ?Kwan iyo ameshaachana na Katiba Mpya?
We jamaa kwa mbwembwe.......eti anayeshikilia Mstakabali wa TaifaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Si mmesema unatufundisha kwanza miaka mitatu degree ya Katiba Nchi nzima?Kwan iyo ameshaachana na Katiba Mpya?
Habari za Mbeya?
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Taarifa zinaonyesha kwamba lengo la Kikao hicho cha Siri ni kujadili sheria zitakazosimamia vyama vya siasa kuelekea uchaguzi wa 2024/2025.
Cha kushangaza ni kwamba Vyombo vyote vya Habari vya Kimataifa vinamtaja Mbowe pekee huku viongozi wengine waliohudhuriwa wakiachwa.
Usiondoke JF, kwa vile Nzi wangu ndani ya kikao hicho yuko tayari kuvujisha yatakayojili.
Mbowe anatajwa peke yake kwasbb chadema ndiyo chama pekee kilichobakia. Ccm ni dudu na vyama vingine vyote ni ccm b.Cha kushangaza ni kwamba Vyombo vyote vya Habari vya Kimataifa vinamtaja Mbowe pekee huku viongozi wengine waliohudhuriwa wakiachwa.
Huko kuvujisha ni mbali.Kikao cha siri ila yeye kashajua kuna kikao..siri iko wapi.?Kikao cha SIRI, halafu utavujisha yatakayojiri… Sawa.
Vizuri
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Taarifa zinaonyesha kwamba lengo la Kikao hicho cha Siri ni kujadili sheria zitakazosimamia vyama vya siasa kuelekea uchaguzi wa 2024/2025.
Cha kushangaza ni kwamba Vyombo vyote vya Habari vya Kimataifa vinamtaja Mbowe pekee huku viongozi wengine waliohudhuriwa wakiachwa.
Usiondoke JF, kwa vile Nzi wangu ndani ya kikao hicho yuko tayari kuvujisha yatakayojili.
SahihiMbowe anatajwa peke yake kwasbb chadema ndiyo chama pekee kilichobakia. Ccm ni dudu na vyama vingine vyote ni ccm b.
Heheeh jamaa amekoleza Sukari tuJapo siipend ccm ila nitakukatalia mpaka nakufa kusema kwamba Mbowe ameshikikia hatima ya Tanzania. Hayo hiyo credibility Mbowe.Hana hata kidogo
Kura gani hiyo? Uchaguzi wa mbarali zaidi ya watu 80, elfu walijitokeza, Na chadema hawakuwepoCHADEMA kina "kura ya turufu' katika siasa za Tanzania....tumieni hiyo nafasi kwa uweledi mkubwa na kwa maslahi mapana ya wananchi haswa wale tunaotaka mabadiliko chanya katika siasa za nchi hii.