Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

CHADEMA kina "kura ya turufu' katika siasa za Tanzania....tumieni hiyo nafasi kwa uweledi mkubwa na kwa maslahi mapana ya wananchi haswa wale tunaotaka mabadiliko chanya katika siasa za nchi hii.
Naam !!!
 
ndio maana inasemekana huyu mwamba ana qualifications zote za kua kiongozi wa JUU sana humu nchini.

Ana tofauti kubwa mno na kibaraka, kwamfano ana uzalendo usio na shaka tofauti na kibaraka akipapaswa tu au kutiwa konzi kidogo tu anachukua ✈️✈️✈️✈️ anaenda zake ng'ambo!!

Lakini pia huyu muungwana anaweza kuishi kwenye zile 4Rs za mama yaani Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding. Lakini kibaraka hawezi pia haelewi.
Umeona hiyo tofauti kwa uchache.
Big up kiongozi
 
Bwashee wakati mwingine unapitiliza. Na wewe unakuwa kama wale chawa kina Lucas Muoshambwa
 

= yatakayojiri.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Faragha haimaanishi siri.

Mfano ukiingia chooni unajulikana umeenda faragha, utachokifanya huko ni moja katika mawili, mengine ni ziyada tu.
 
Kutajwa kwa mh Mbowe pekee yake siyo kwa bahati mbaya.

Mbowe ndiye kiongozi pekee wa kweli wa vyama vya upinzani hapa Tanzania.
 
Mbona unawashwa sana wakati pilipili yenyewe ni hoho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…