Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

CHADEMA kina "kura ya turufu' katika siasa za Tanzania....tumieni hiyo nafasi kwa uweledi mkubwa na kwa maslahi mapana ya wananchi haswa wale tunaotaka mabadiliko chanya katika siasa za nchi hii.
Hongera sana ndugu mzalendo wa kweli wa nchi hii
 
Nchini zanzibar 🤔
 
CHADEMA kina "kura ya turufu' katika siasa za Tanzania....tumieni hiyo nafasi kwa uweledi mkubwa na kwa maslahi mapana ya wananchi haswa wale tunaotaka mabadiliko chanya katika siasa za nchi hii.
Uko sahihi 80%
 
Japo siipend ccm ila nitakukatalia mpaka nakufa kusema kwamba Mbowe ameshikikia hatima ya Tanzania. Hiyo credibility Mbowe hana hata kidogo
Tuwe wakweli wakati mwingine, CCM ya sasa ni nani mwenye uwezo kisiasa wa kumfikia Mbowe, Nape! CCM imebakiwa na magarasa haina mwanasiasa kwani wote wamejikita kwenye biashara na upigaji.
 
Tuwe wakweli wakati mwingine, CCM ya sasa ni nani mwenye uwezo kisiasa wa kumfikia Mbowe, Nape! CCM imebakiwa na magarasa haina mwanasiasa kwani wote wamejikita kwenye biashara na upigaji.
Viwango vya Mbowe ccm ukimtoa kikwete (kwa wanaojulikana- maana ccm ina majembe yasiofahamika kibao) hakuna wa kumsogelea hata kwa mbali.
 
Mungu Ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…