Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko


ebu tuambie mmenyimwa wap kufanya siasa? weka pemben kwamba hakuna kufanya siasa muda ambao sio kwa sababu watu lazima wafanye kazi, kama kuna sehem ingine mmenyimwa kufanya siasa mseme! mnashindwa kukubali kwamba chama chenu hakina tena mvuto kiasa na vyama vingi vinaamka sasa , wananchi wana akili, juzi mbowe kaenda jimboni kwake na kwa mara ya kwanza tangia tupate uhuru mgombea anafanya mkutano alafu mkutano mzima upo against, wengine wnafanya mkutano wananchi wanakuja angalau kuskiliza tu sasa yeye wote hawamtaki
 
Mafuriko kawaida yenu, ila kwenye kura msahau ng'oo, wajumbe lazima tuwafanyie kitu mbaya!
 
Lisu atapata kiharusi akisikia matokeo amepata kura 20% huku magi akiwa na ushindi wa kishindo.
Kama ni hivyo mbona usiku kucha mchana kutwa mataga mnashindana kuanzisha nyuzi za kumhusu Lissu ? Hii ngoma nzito kinyume na matarajio yenu, kama hulijui hili basi ni kwa vile kwa level yako unaishia kwenye corridor tu lakini walioko vyumbani wameshaona hatari iliyoko mbele.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Unachekesha!

Ni mpumbavu pekee anaehisi Lisu atashinda uraia wa tz!

Yule hapati hata 20 aslimia
 
Nyomi hii kwa ACT ni dalili njema kwa upinzani upande wa Zanzibar. Inafanya ushirikiano kati ya ACT na CHADEMA kuwa mwepesi. ACT iachiwe Zanzibar na CHADEMA iachiwe bara. Mgombea urais Zanzibar awe Seifu na wa JMT awe Lissu. Na hapa ndipo ngoma inogile. Nawapongeza sana Wazanzibari kwa mapokezi haya.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Unachekesha!

Ni mpumbavu pekee anaehisi Lisu atashinda uraia wa tz!

Yule hapati hata 20 aslimia
 
Muulizeni Lissu kuhusu corona yake na nchi yake anayoishi!
 
Kwahiyo Lisu atasababisha mtangazwe washindi?

Kutangazwa washindi sio kwa matakwa ya Lisu, bali ni kutokana na maamuzi ya wananchi. Hatuna tatizo Lisu kushindwa, ila sio kushindwa kama zile chaguzi za marudio, au uchaguzi wa SM.
 
HII imekaaje baada ya kuona hali hii wao ghafla ndio wamechanganyikiwa,watu wanauliza Lissu anasemaje kuhusu corona ipo au haipo au huu mtiti ndio unakwenda mazikoni!
 

Attachments

  • IMG_20200808_082104.jpg
    52.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…