stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Imepoteza ushawishi au rais aliye madarakani ana nongwa na chuki ya wazi dhidi ya cdm? Hivyo anatumia madaraka yake vibaya, kuwahujumu na kuwanyima haki ya kufanya siasa kwa faida ya chama chake. Nani kakuambia upinzani umewekeza mitandaoni, huku mitandaoni kwa ajili ya udictator wa rais, ndio sehemu pekee ya watu kuonyesha hisia zao bila kutekwa, kuuwawa au kuhujumiwa shughuli zao.
ebu tuambie mmenyimwa wap kufanya siasa? weka pemben kwamba hakuna kufanya siasa muda ambao sio kwa sababu watu lazima wafanye kazi, kama kuna sehem ingine mmenyimwa kufanya siasa mseme! mnashindwa kukubali kwamba chama chenu hakina tena mvuto kiasa na vyama vingi vinaamka sasa , wananchi wana akili, juzi mbowe kaenda jimboni kwake na kwa mara ya kwanza tangia tupate uhuru mgombea anafanya mkutano alafu mkutano mzima upo against, wengine wnafanya mkutano wananchi wanakuja angalau kuskiliza tu sasa yeye wote hawamtaki