Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hayo mengine ni maneno ya kisiasa lakini ukweli ni huo niliokueleza nenda kawaambie na wenzako.
Ninachojua kwenye chumba cha kuhesabia kura kila chama kinakuwa na wawakilishi wake na hata ninyi cdm munakua na wawakilishi wenu. Mkishindwa mkuu kubalini na sisi tukishindwa tutakubali. Lakini naogopa mwaka huu mkishindwa act wazalendo wanaweza kua mbuyu huko bungeni na ninyi mkarudi kua mchicha.
Unyama, ukatili, ushenzi na uhayawani wa wazi uliokuwa unafanyika kwenye chaguzi za marudio kila mtu alijionea. Hao mawakala walikuwa wanatishwa na hata kupigwa na jeshi la polisi ili kusaini matokeo fake ya uchaguzi, ndio maana sasa hivi tume ya uchaguzi imekuja na sheria kuwa sio lazima kutoa fomu ya matokeo kwa mawakala. Kama hujui hayo basi uyajue.