Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Miezi miwili iliyppita ulikuwa unaendesha harakati humu za kudai tume huru ya uchaguzi na kusema hakuna mpumbavu anaweza kwenda kupoteza muda wake kupiga kura chini ya hii tume!Kutangazwa washindi sio kwa matakwa ya Lisu, bali ni kutokana na maamuzi ya wananchi. Hatuna tatizo Lisu kushindwa, ila sio kushindwa kama zile chaguzi za marudio, au uchaguzi wa SM.
Vipi harakati zako zimeishia wapi?
Na sasa unasema utapiga kura je, matamwa yako yametekelezwa?