Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Kutangazwa washindi sio kwa matakwa ya Lisu, bali ni kutokana na maamuzi ya wananchi. Hatuna tatizo Lisu kushindwa, ila sio kushindwa kama zile chaguzi za marudio, au uchaguzi wa SM.
Miezi miwili iliyppita ulikuwa unaendesha harakati humu za kudai tume huru ya uchaguzi na kusema hakuna mpumbavu anaweza kwenda kupoteza muda wake kupiga kura chini ya hii tume!

Vipi harakati zako zimeishia wapi?
Na sasa unasema utapiga kura je, matamwa yako yametekelezwa?
 
ebu tuambie mmenyimwa wap kufanya siasa? weka pemben kwamba hakuna kufanya siasa muda ambao sio kwa sababu watu lazima wafanye kazi, kama kuna sehem ingine mmenyimwa kufanya siasa mseme! mnashindwa kukubali kwamba chama chenu hakina tena mvuto kiasa na vyama vingi vinaamka sasa , wananchi wana akili, juzi mbowe kaenda jimboni kwake na kwa mara ya kwanza tangia tupate uhuru mgombea anafanya mkutano alafu mkutano mzima upo against, wengine wnafanya mkutano wananchi wanakuja angalau kuskiliza tu sasa yeye wote hawamtaki

Umerudi lini hapa nchini au ulitoka jela lini? Angalia isije ikawa haya unayohoji hukuwa hapa nchini, hivyo unataka usimuliwe mambo yaliyo wazi. Au unadhani tumesahau maagizo yaliyokuwa yanatolewa? Kama tatizo ni muda wa kufanya kazi? Kila siku tunamuona rais akiwa mubashara wakati wa kazi, au yeye tukimuangalia ndio kazi?
 
Tukisema lumumba wamejaa wapuumbavu mnakuja juu! Hiyo picha ya makalio makubwa ya mwanamke umeweka hapa ili iweje?shame!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tukisema lumumba wamejaa wapuumbavu mnakuja juu! Hiyo picha ya makalio makubwa ya mwanamke umeweka hapa ili iweje?shame!
Huyu mataga ameazima simu ya dada yake na hiyo ni picha ya dada yake ameituma bahati mbaya.
 
Nyie tatizo lenu mnapokea puppet ili Chadema tusiende ikulu ila mjue unafiq utawaponza.
Sidhani kama kauli za aina hii zinajenga ama kutengeneza uaminifu katika ushirikiano wa vyama!
Makosa yaliyotokea uchaguzi uliopita yanaonesha hatujifunzi kitu.
Je tunahitaji kura za wanachama wa chama kimoja au za watanzania? Yawezekana sana tena na huenda pasipo shaka BM ni pandikizi kama alivyokuwa EL, lakini tunajisahaulisha kwamba katika vyama vyetu hivi hivi kuna watu "mapandikizi sugu" walipata sifa na kutukuzwa kupita maelezo kana kwamba wao ndio WAASISI WA MAGEUZI NA WAPINZANI WA KWELI!!! Sikuacha kuonya niliandika "MAJI HUWA HAYASAHAU BARIDI" Na hakika maneno hayo niliyoandika hayakuanguka YALITIMIA.
NIISHIE HAPA KWA LEO
 
Lisu hawezi kuwa rais! Kwanini huu ukweli hamtaki kuukubali?
Ninakubaliana na wewe kwa kuwa refarii na sheria zinazoongoza mpambano, pamoja na vyombo vya dola na mahakama vyote vinaibeba Ccm. Hongera kwa fursa hiyo. Ila usiwaite raia wenzio wapumbavu kwa kukosa fursa hiyo. Unachohea hasira.
 
Ninakubaliana na wewe kwa kuwa refarii na sheria zinazoongoza mpambano, pamoja na vyombo vya dola na mahakama vyote vinaibeba Ccm. Hongera kwa fursa hiyo. Ila usiwaite raia wenzio wapumbavu kwa kukosa fursa hiyo. Unachohea hasira.
Ni wapumbavu kama wanajua taztizo lilipo alafu wanashamgilia ushindi wa Lisu kabla hata ya kampeni
 
Back
Top Bottom