Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hapo unajidanganya mkuu, inaonekanwa unamchukulia poa sana Maalim Seif
Simchukilii poa,labda avunje muungano, lakini ndani ya muungano, bara wana maamuzi 90%.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unajidanganya mkuu, inaonekanwa unamchukulia poa sana Maalim Seif
Ikitokea mwenzake ndio kapata hizo kura nyingi zaidi Kisha kutangazwa mshindi yeye atakubali matokeo? Au ataita press kujitangaza mshindi.?kipimo cha haki ni kumtangaza yule aliyepata kura nyingi kuliko wenziwe. basi. hakuna chengine!
atakayepata kura nyingi ndiye mshindi.... hii mbona iko wazi tu?Ikitokea mwenzake ndio kapata hizo kura nyingi zaidi Kisha kutangazwa mshindi yeye atakubali matokeo? Au ataita press kujitangaza mshindi.?
Au mwenye haki ya kupata hizo kura nyingi ni yeye tu pekee?
Kwahiyo kipi ni kipi hapa?Hamuogopi Lisu na wala hatakaa amuogope akiwa na madaraka, ila Lisu naye sio muoga wa hivyo. Hivyo atakapoagiza uhuni ufanyike kwenye box la kura kisha kutokea tafrani yoyote, hiyo itamuuandama maisha yake yote.
Kwahiyo kipi ni kipi hapa?
Huiamini tume ila una mwamini Lisu?
Ok.. Tungojee oktoba siyo mbali
Mungu awasamehe tu hawa wanaojiita wapinzani maana hawajui watendalo!Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli? Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?
Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula...
Umeona mkuu? Yaani hawa viongozi wetuhawajitambui kabisa, hapo kwa upepo huu Membe anatakiwa amwachie Lissu na kule Zanzibar wamwachie Maalim Seif.Asubihi tu tutakuwa tshakula za uso
Simchukilii poa,labda avunje muungano, lakini ndani ya muungano, bara wana maamuzi 90%.
Nilikuepo muda huo ulioutaja! 67 yrs from today nilikuwepo duniani! Mwaka huu hawaibi na wakaachiwa, Bensouda wa ICC ajiweka tayari kuchukua ushahidi!Mkuu,kila uchaguzi unapofanyika CCM huwa inapigwa chini,haijawahi kushinda toka mwaka 1995,lakini chaguzi zote huwa wanaibuka kina jecha wapya, au ulikuwa bado hujazaliwa?
Mkuu,kila uchaguzi unapofanyika CCM huwa inapigwa chini,haijawahi kushinda toka mwaka 1995,lakini chaguzi zote huwa wanaibuka kina jecha wapya, au ulikuwa bado hujazaliwa?
Haaminiki how?Tatizo Maalim haaminiki, hata mimi simuamini....yeye achagize tu uchaguzi upite tupate cha kuongelea.