Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

Zanzibar 2020 Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

kipimo cha haki ni kumtangaza yule aliyepata kura nyingi kuliko wenziwe. basi. hakuna chengine!
Ikitokea mwenzake ndio kapata hizo kura nyingi zaidi Kisha kutangazwa mshindi yeye atakubali matokeo? Au ataita press kujitangaza mshindi.?
Au mwenye haki ya kupata hizo kura nyingi ni yeye tu pekee?
 
Zanzibar ichukueni nchi yenu... Its NOW or NEVER...!
 
Ikitokea mwenzake ndio kapata hizo kura nyingi zaidi Kisha kutangazwa mshindi yeye atakubali matokeo? Au ataita press kujitangaza mshindi.?
Au mwenye haki ya kupata hizo kura nyingi ni yeye tu pekee?
atakayepata kura nyingi ndiye mshindi.... hii mbona iko wazi tu?
 
Hamuogopi Lisu na wala hatakaa amuogope akiwa na madaraka, ila Lisu naye sio muoga wa hivyo. Hivyo atakapoagiza uhuni ufanyike kwenye box la kura kisha kutokea tafrani yoyote, hiyo itamuuandama maisha yake yote.
Kwahiyo kipi ni kipi hapa?

Huiamini tume ila una mwamini Lisu?

Ok.. Tungojee oktoba siyo mbali
 
Kwa nini wananchi wahangaike wakati inasemekana tume ya uchaguzi ni ya uhuru na haki...

Cc: mahondaw
 
Mleta mada unashamgaa matamko, kwani umeshawahi kuona kampeni bila matamko?

Kwa upande wangu sioni ubaya wa hayo matamko, muhimu tume ya uchaguzi upande wa Zanzibar na Bara watende haki, na hayo matamko ndio yanawakumbusha kutimiza wajibu wao.
 
Kwahiyo kipi ni kipi hapa?

Huiamini tume ila una mwamini Lisu?

Ok.. Tungojee oktoba siyo mbali

Siiamini hiyo tume kabisa, hata kama akishinda huyo Tundu Lisu. Tatizo langu liko kwenye muundo na mwenendo mzima wa hiyo tume. Huhitaji akili kubwa kujua kuwa sio muundo unaostahili kwa tume iliyo huru.
 
Ivi jaman kwa mgawanyiko huu kweli tutaiweza ccm kweli? Wapinzani huwa mnatuangusha sana wananchi au mna ajenda ya makusudi kubuy time ccm akiendelea kutawala?

Bila kuungana nawahakikishia hamtaing'oa ccm, mnatupotezea mda wapiga kula...
Mungu awasamehe tu hawa wanaojiita wapinzani maana hawajui watendalo!
 
Asubihi tu tutakuwa tshakula za uso
Umeona mkuu? Yaani hawa viongozi wetuhawajitambui kabisa, hapo kwa upepo huu Membe anatakiwa amwachie Lissu na kule Zanzibar wamwachie Maalim Seif.
 
Mkuu,kila uchaguzi unapofanyika CCM huwa inapigwa chini,haijawahi kushinda toka mwaka 1995,lakini chaguzi zote huwa wanaibuka kina jecha wapya, au ulikuwa bado hujazaliwa?
 
Simchukilii poa,labda avunje muungano, lakini ndani ya muungano, bara wana maamuzi 90%.

Wabara wana maamuzi 90% sababu wamewaeka vibaraka wao kule Zanzibar, Maalim Seif akikamata serekali either watanyooka au wabara wenyewe ndio watavunja huo Muungano
 
Mkuu,kila uchaguzi unapofanyika CCM huwa inapigwa chini,haijawahi kushinda toka mwaka 1995,lakini chaguzi zote huwa wanaibuka kina jecha wapya, au ulikuwa bado hujazaliwa?
Nilikuepo muda huo ulioutaja! 67 yrs from today nilikuwepo duniani! Mwaka huu hawaibi na wakaachiwa, Bensouda wa ICC ajiweka tayari kuchukua ushahidi!
 
Tatizo Maalim haaminiki, hata mimi simuamini....yeye achagize tu uchaguzi upite tupate cha kuongelea.
 
Back
Top Bottom