tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Hata kama wanakuja sababu ya muungano hawana mamlaka ya kujinyakulia ardhi ya Tanganyika kwa nguvu. Huu ni uchokozi wa wazi.Ardhi yao iko visiwani...huku bara wanakuja sababu ya muungano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama wanakuja sababu ya muungano hawana mamlaka ya kujinyakulia ardhi ya Tanganyika kwa nguvu. Huu ni uchokozi wa wazi.Ardhi yao iko visiwani...huku bara wanakuja sababu ya muungano.
Walipewa na nani? Acha kutupotosha.View attachment 2642303
http://https//jamii.app/JFUserGuide › inde...JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo, ili kudumisha mijadala yenye heshima, ubunifu na ushiriki kamilifu, taratibu zifuatazo zimewekwa ili...jamii.app
Je wajua kuwa Zanzibar inamiliki Hectare 28000 Tanganyika? Sasa ...
9 Apr 2014 · 11 posts · 9 authors
Eneo hilo lipo Bagamoyo na mipaka yake ni Mto Ruvu, barabara ya Msata, reli ya Tanga, mto Wami na bahari ya Hindi. SMZ walipewa
09-04-2014, 12:26
Kuna kitu ambacho naamini watu wengi hawajui. Hivi mnafahamu kuwa serikali ya mapinduzi Zanzibar inamiliki zaidi Hectare 28,000 Tanganyika? Unaweza kuendesha gari yako bila kuvuka maji na ukaingia Zanzibar?
SMZ walipewa zawadi eneo hilo na mwalimu Julius Nyerere ili kurahisisha upatikanaji wa nyama Zanzibar. Eneo lilitengwa kwa matumizi ya Ranchi na linaitwa Ranch of Zanzibar Bagamoyo (RAZABA) reserved
Mipaka ya Zanzibar unajua kuwa inaishia huko baharini haifiki huku bara? Sasa huku bara wanatafuta nini? Lazima tuchukue ardhi yetu. Ardhi ya Tanganyika sio shamba la bibi kwamba kila mtu aje kujichotea. Wananchi wakose ardhi ya kulima kisa ardhi yao imeporwa na wala urojo? Haikubaliki.kwahiyo unataka Rais awapokonye mali yao??unakubaliana na unyanga'nyi?
Una hakika hiyo ardhi imenunuliwa na kwamba Zanzibar wanatka kujenga ubalozi juu ya ardhi hiyo? Usihamasishe Zanzibar kupora ardhi ya Tanganyika kimabavu; kuwa mzalendo.Tanzania hununua ardhi na kujenga balozi Dunia nzima,
Je kununua ardhi Nchi zingine Kwa ajili ya ubalozi ni sawa na njama za mapinduzi?
Walipewa na nani? Acha kutupotosha.
Wanadai Queen Victoria alimzawadia mpwa wake Kaiser wa Ujerumani baada ya kuona yeye tayari ana mlima wenye theluji.Nadhani maana mstari wa mpaka umenyooshwa kwa rula, pale kwenye mlima, wakapindisha, mlima ukaingizwa kwetu.
P
No!, it's the other way round, muungano utaimarika!, tutashare the cost ya kurun muungano, kwa sasa kuna punda mmoja tuu ndie anamenyeka, halafu mwingine, anakula tuu sushi!.Serikali 3 zikiwepo kikatiba muungano Chali cha mende
Wazanzibar ni watu wa ajabu sana. Nchi yao ni ndogo lakini kila siku tunasikia rais wao akiuza visiwa kwa mabeberu na ardhi inazidi kupungua. Amemaliza kuuza nchi yake kwa mabeberu sasa anakuja kupora ardhi ya Tanganyika. Huu ni uchokozi usiokubalika.Bagamoyo Ecoergy Sugar cane Farm ni eneo lililokuwa Ranchi ya Watu wa Zanzibar (RAZABA) ambayo ilitegemewa kuzalisha miwa ambayo ingetumika katika kuzalisha Sukari, Ethanol na Umeme, eneo hili linafaa kwa kilimo cha Umwagiliaji lakini bado halijaendelezwa....
Source : Maeneo ya Uwekezaji | Bagamoyo District Council
Wazanzibar ni watu wa ajabu sana. Nchi yao ni ndogo lakini kila siku tunasikia rais wao akiuza visiwa kwa mabeberu na ardhi inazidi kupungua. Baada ya kuuza nchi yake kwa mabeberu sasa anakuja kupora ardhi ya Tanganyika. Huu ni uchokozi usiokubalika.
Wengi hawajui ni wapumbavu kabisa bora uwaambie.Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.
Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.
Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Tanganyika inaweza kwenda kupora ardhi Zanzibar au Kenya? Kwanini mnauza ardhi yenu inaisha halafu mnakuja kupora ardhi ya Tanganyika? Mmerogwa nini?Mambo ya kawaida kabisa nchi na nchi kupeana eneo la ardhi.
Mnashangaa nini.na wing wa watu hauna tija. Mbona alaska ipo urus ila ardhi ya marekan. Mbona hushangaiNchi yenyewe haifikii hata mkoa mmoja wa Tanganyika. Ni shida
Kijana fanya kuhoji uhalali sio unakuwa na mihemko na unaonekana unapenda fujo sana, sijui kama una elimu kweli?Wazanzibar ni watu wa ajabu sana. Nchi yao ni ndogo lakini kila siku tunasikia rais wao akiuza visiwa kwa mabeberu na ardhi inazidi kupungua. Amemaliza kuuza nchi yake kwa mabeberu sasa anakuja kupora ardhi ya Tanganyika. Huu ni uchokozi usiokubalika.
Ardhi ya Tanzania tumeweza kuitumia hata robo tu ya yote tuliyonayo?. Tuwe kwanza wabunifu na tuwe na tamaa ya maendeleo ili tunapolalamka kuibiwa ardhi yetu iwe ni hoja yenye kueleweka.Sishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
Nchi yenyewe haifikii hata mkoa mmoja wa Tanganyika. Ni shida
Wanachojua ni kulialia tu humu JF.Km wakenya wapo huko ifakara, kilosa, wanalima bila wasiwasi na kusafirisha mazao Yao mpk Kenya nn cha kushangaza Zanzibar kumiliki hizo hekari. Vijana wa hii nchi wapo usingizini fofofo
Yan we unamasihara sana wamege Mikoa gani Dar Moro Mtwara na Pwani [emoji1][emoji1].Nimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.