Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona hamjitengi au mnataka kwanza mpore ardhi ya Tanganyika muiuze ndipo mgawane mbao?Acha kutetea ujinga mkuu. Kuwa mzalendo kwa nchi yako ya Tanganyika isiporwe na wakoloni wala urojo.Bado akili ndogo sana nchi kuwa kubwa au ndogo ni ishu ya kimipaka na ethics za watu... Zanzibar ingekuwa sio sehemu ya Tz ingekuwa na maendeleo ya mbali sana
Huoni mlivyokuwa na shobo kwenda kutalii?
Kama waliiachia hiyo ardhi mwaka 1994, kwa nini wanataka kuihodhi sasa tena kwa vitisho vikuubwa?!!!!Bagamoyo EcoEnergy Project (BEE) has entered into a joint venture partnership with the Tanzanian Government and has been provided with 24,000HA of land by the GoT on the western part of the Ranchi ya Zanzibar (RAZABA ) area in Bagamoyo District Tanzania, which was abandoned by the Government of Zanzibar in 1994. The intention is to develop a green field sugar cane plantation on approximately 7800HA of land ...
Source : Tanzania - Bagamoyo Sugar Project - Executive RAP Summary
Ndiyo maana ni hatari sana kwa nchi Moja kutawaliwa na mtu kutoka nchi nyingine!ZANZIBAR SIO TUU UNGUJA NA PEMBAView attachment 2642390View attachment 2642391View attachment 2642392
Hawa watu wachokozi sana. Waende Holland wajifunze jinsi ya ku reclaim land from the sea by using dykes. Halafu kibaya zaidi wameuza visiwa vyao vyote kwa mabeberu kisha wanakimbia kuja Tanganyika kupora ardhi ya watanganyika. Wapuuzi sana hawa jamaa aisee!Yan we unamasihara sana wamege Mikoa gani Dar Moro Mtwara na Pwani [emoji1][emoji1].
Hao hakuna kupewa hata vumbiii la mkoa wowote kama hawatoshi wafanye recreation tu kama huko Dubai
Wasiwasi tu! watu wana umiliki wa halali fuatilia acha porojo.Mkuu kuwa muungwana. Rais wa Zanzibar ameuza visiwa vyote vya Zanzibar kwa mabeberu. Sasa anataka kuhamia Tanganyika awe anamega kidogo kidogo anauza. Akiuza Tanganyika ikaisha (kama alivyoiuza Zanzibar) sisi tutaenda kuishi nchi gani? Acha kutetea ujinga mkuu.
Sikiliza hiiView attachment 2641794
Opportunism.! ukipata slope teleza.. hili ni fundisho zuri.😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Huyu mmiliki amezindukaje leo? Kuna mambo magumu sana kuyaelewa. Nchi yetu hii ni moja. Acha wazanzibar wafurahie matunda ya muungano
1. Kuna namna nyingi ya kukwepa kodi stahiki za serikali halali. Jadili (maksi 60)....wanataka kuja....
Ujinga upi? wakati we ndo unakuwa na wasiwasi wa kitoto .Sasa mbona hamjitengi au mnataka kwanza mpore ardhi ya Tanganyika muiuze ndipo mgawane mbao?Acha kutetea ujinga mkuu. Kuwa mzalendo kwa nchi yako ya Tanganyika isiporwe na wakoloni wala urojo.
ZANZIBAR SIO TUU UNGUJA NA PEMBAView attachment 2642390View attachment 2642391View attachment 2642392
The Congo–Arab War (also known as the Congolese–Arab War, Belgo–Arab War or Arab Wars) took place in what is now the Democratic Republic of the Congo between the forces of Belgian King Leopold II 's Congo Free State and various Zanzibari Arab slave traders led by Sefu bin Hamid, the son of Tippu Tip. Fighting occurred in the eastern Congo between 1892 and 1894.
Congo–Arab War | Military Wiki | F…
View attachment 1748030
military.wikia.org/wiki/Congo%E2%80%93…
HAKUNA🙄Huu muungano faida zake ni zipi kwa bara?
Kwa hiyo bibi unataka tuwaachie ardhi yetu muipore ilhali ardhi yenu mnaiuza kwa mabeberu na waarabu? Huko shuleni ulienda kusomea elimu au ujinga? Kuwa na adabu na nchi ya Tanganyika. Hili sio shamba la bibi kwamba mje tu kujichotea ardhi tukiwatazama. Kitaumana!Tatizo letu kubwa Tanzania ni ujinga wa Watanzania.
Hii miaka ya dunia kiganjani ndiyo inazidi kuuanika ujinga tulionao.
Hakuna kuwapa sehemu yoyote wabaki na maeneo yao tuNimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.