Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kama wewe ni mbara, utakuwa huna marinda. nenda tu zenji kaishi na machoko wenzio.Kuwashika wabara wakati mimi ni mbara!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wewe ni mbara, utakuwa huna marinda. nenda tu zenji kaishi na machoko wenzio.Kuwashika wabara wakati mimi ni mbara!!
Toa mifano hai usitoe mifano mfu ilmradi uhalalishe uporaji wa ardhi ya Tanganyika.Punguza mihemko.
Nimetoa mfano wa ubalozi, kwamba Ukiwa eneo la ubalozi wa Marekani, upo Marekani sababu ni himaya Yao.
Lakini ukienda kwenye ramani ya USA na mipaka Yao, huwezi Kuta oysterbay kuwa sehemu ya ardhi ya Marekani kimipaka.
USA pamoja na kumiliki ardhi ya ubalozi oysterbay Bado wakitofautiana na Tz kama Nchi wanaweza kufukuzwa na hawawezi dai popote ardhi hiyo waliyonunua au kukodishwa.
Nakushauri fanya utafiti kabla ya kuanzisha thread.
Mkuu acha kutetea ukengeufu. Usitutolee mifano mfu. Serikali ya Zanzibar imeishauza visiwa vyote kwa mabeberu. Kama wana uchungu na ardhi kwanini wauze ardhi yao halafu waje kupora ardhi ya Tanganyika? Kuwa mzalendo kwa taifa lako, acha mawazo ya kitumwa.Watanzania tuna chuki mbaya kazi kubaguana. Kwani zanzibar kumiliki ardhi bara Kuna shida gani. Imefika mahala hadi sisi wenye we tunabaguana. Ukisoma baadhi comment ziko kichuki mnaingiza udini, ukanda. Yani mtu anaona ni Sawa kuropoka manenoo ya kibaguzi waziwazi. Inatia aibu sana sana, tumebaki tukisema Watanzania wakarimu kumbe sisi wanafiki mbwa kabisa. Ukiona threads kama hizi ndio unaipata picha mtanzania yuko je
Sio kitu kibaya Serikali ya zanzibar kumiliki ardhi bara, iweje wananchi waruuhusiwe kumiliki alafu Serikali ikataliwe huu si uupuuzi.
Hivi ujinga utafikisha wapi. Mtu hata ukijificha nyuma ya keyboard bado tu unabaki kuwa mjinga na mpuuzi. Ndiyo maana tumebaki kuwa washikina wa shenzi huku tukijidanganya kuwa sisi wakarimu sana. Hamna lolote.
Haya! Wazungu hatuwataki, wakenya hatuwataki, WA zanzibar hatuwataki tukishamaliza tunakuja wenye we kwa wenyewe. Tutamalizana kwa chuki na ubaguzi.
Mijitu inajifanya Ina ukarimuu kumbe mashetani, MBwa mwitu
All of you should be ashamed of yourself, pathetic human beings.
Ishia hapo hapo. Ukitaka kutuletea mipaka ya kikoloni, Zanzibar yote itaamgukia ndani ya Tanganyika. Bora tu ukae kimya. Usichokoze nyuki ilhali huna uwezo wa kutimua mbio, shauri yako!Hivi wewe sijui umezaliwa lini na shida yenu nyinyi vijana hata kusoma historia tu hamuwezi.
Lile eneo la RAZABA limekabidhiwa kwa Zanzibar kama ranchi tangu kwenye miaka ya 70, leo hii ndiyo munajua kuwa Zanzibar ina eneo huko Bagamoyo?
Kama munaona ni uvamizi basi na sisi mutuachie ile 10 miles coast line iliyoporwa na waingereza na wajerumani tuone nani atakula hasara.
Kunataratibu zilizokosewa. Na kama ni hivyo mnakuja kudai huku Jf inasaidia nnKwaiyo ni sawa ekari 6000 za bagamoyo kuwa sehemu ya Zanzibar?
Muungano hauna faida yoyote zaidi ya kuwanyonya watanganyika. Leo hii tukiamua kuvunja muungano wazanzibar watakufa njaa kwa kushindia urojo na madafu.Huu muungano faida zake ni zipi kwa bara?
Rais wa Tanganyika ni nani. Tuanzie hapoNimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
kule visiwani Tanzania bara wanamiliki ardhi gani? tuanzie hapoNimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
Mzungu hausiki. Mlaumuni Babu alieanzisha mungu mwenge
.....ijapochelewa ingojee.naitamani Sana siku ile ambayo itakua ni mwisho wa huu upumbavu unaoitwa muungano nitakua na furaha ya maisha yangu yote
na sisi ndio hapo tunawapiga za pua. walipe kodi hadi wakome kabisa.binafsi sijaona umuhimu wa huu muungano, saa una nunua bidhaa zanzibar ukiingia nazo bara unalipia ushuru kana kwamba ni nchi mbili tofauti hata kama muungano huu upo kwa maswala ya kiusalama bado haileti mantiki, watu wana serikali yao,bunge lao ,kwanini wasiachiwe wajitawale tu kama inchi.
na kwanini wapewe ardhi wakati sisi kwao hatupewi ardhi? hivi huu mzigo wa muungano tutautua lini?Huu ni mfano mmoja mzuri wa jinsi katiba ya sasa inavyompa Rais wa Jamhuri mamlaka yasiyo na mipaka katika kufanya maamuzi yoyote. Kama Serikali ya Zanzibar imeshindwa kuiendeleza hiyo ardhi kwa malengo ya kuzalisha nyama, kwanini bado waendelee kuimiliki? Kwa kigezo au vigezo gani?
Hi kitu nlijuaga tokea zamani kuwa ranchi hiyo inamilikiwa na wazenjiRanchi of Zanzibar Bagamoyo
http://https//jamii.app/JFUserGuide › inde...JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo, ili kudumisha mijadala yenye heshima, ubunifu na ushiriki kamilifu, taratibu zifuatazo zimewekwa ili...jamii.app
Je wajua kuwa Zanzibar inamiliki Hectare 28000 Tanganyika? Sasa ...
9 Apr 2014 · 11 posts · 9 authors
Eneo hilo lipo Bagamoyo na mipaka yake ni Mto Ruvu, barabara ya Msata, reli ya Tanga, mto Wami na bahari ya Hindi. SMZ walipewa
09-04-2014, 12:26
Kuna kitu ambacho naamini watu wengi hawajui. Hivi mnafahamu kuwa serikali ya mapinduzi Zanzibar inamiliki zaidi Hectare 28,000 Tanganyika? Unaweza kuendesha gari yako bila kuvuka maji na ukaingia Zanzibar?
SMZ walipewa zawadi eneo hilo na mwalimu Julius Nyerere ili kurahisisha upatikanaji wa nyama Zanzibar. Eneo lilitengwa kwa matumizi ya Ranchi na linaitwa Ranch of Zanzibar Bagamoyo (RAZABA)
@ Copyright reserved
Thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz › national
Dar land sharks target key deal in Bagamoyo
22 Apr 2021 — ... and handed the lease of occupancy for the 24,000-hectare former Ranch of Zanzibar in Bagamoyo (Razaba) to
More info :
RANCH OF ZANZIBAR BAGAMOYO abandoned by the Government of Zanzibar in 1994.
Bagamoyo EcoEnergy Project (BEE) has entered into a joint venture partnership with the Tanzanian Government and has been provided with 24,000HA of land by the GoT on the western part of the Ranchi ya Zanzibar (RAZABA ) area in Bagamoyo District Tanzania, which was abandoned by the Government of Zanzibar in 1994. The intention is to develop a green field sugar cane plantation on approximately 7800HA of land ...
Source : Tanzania - Bagamoyo Sugar Project - Executive RAP Summary
CCM wameamua kuuza ardhi yetu wakiwa wamechutama. Wameona wakiuza wima wima tutawashtukia. Itakuwa wamewatumia wazanzibar kuchota ardhi wawauzie mabeberu wagawane fedha. Hizi fedha zitawapeleka watu jehanamu.Mambo ya ccm hayo kura waibe,ardhi waibe ,uraia waibe hata haki za Watanzania wanaiba kila siku.
Smz kumiliki ardhi huku Tanganyika sio kosa.Yaani kati ya mambo ya ajabu aliyotufanyia Nyerere ni kutuunganisha na hawa viumbe wa ajabu kutoka nchi ya kusadikika. Nyerere tunamheshimu alituletea uhuru lakini kwa hili la muungano wa mchongo, alikosea sana.
Sasa si mjitenge au mpaka kwanza mpore ardhi ya Tanganyika, tena kiulani bila kumwaga jasho, ndipo mjitenge? Ukijitenga na Tanganyika una uwezo wa kushindia urojo na madafu au unajitutumua bure kama chura aliyebanwa na mlango?Ujinga upi? wakati we ndo unakuwa na wasiwasi wa kitoto .
Hyo ardhu ilikuwa watu wanauziwa kimagendo na watu wa viwanja na kesi zipo kibao ndo maana wakaja juu na hilo swal.
Punguza chuki maana hata watu wajitenge wataishi wala hawana kitu kitapungua kwao kama burundi.