Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
Sheria ya ardhi inasemaje kuhusu abandoned land for more tha ten years..?

Mliosoma land law msaada
 
Kwa hiyo bibi unataka tuwaachie ardhi yetu muipore ilhali ardhi yenu mnaiuza kwa mabeberu na waarabu? Huko shuleni ulienda kusomea elimu au ujinga? Kuwa na adabu na nchi ya Tanganyika. Hili sio shamba la bibi kwamba mje tu kujichotea ardhi tukiwatazama. Kitaumana!
Ardhi yetu kwani wanaibeba wanaenda nayo wapi? Kama walipewa kihalali na wamefata sheria, tatizo nini?
 
Blood inshu ya prezoo anatoka kwako hauna mantiki kama wanata ubabe tupo tunawangoja koz tuna nguvu na watu kuliko wako japo Wana Marais Pande mbili
 
Hakuna kuwapa sehemu yoyote wabaki na maeneo yao tu
Umechekewa jamvini, karamu imeshaliwa.

Hawaombi eneo, eneo wanalo tayari na jirani yao hapo Bakhresa alipewa hekta elfu 10 na Magufuli. Umesahau?

Kumbuka, Bakhresa pia ni Mzanzibari.

Utakufa nacho kijiba cha roho.
 
Elimu ya uraia, inahitajika sana. Tanzania ni nchi moja ya JMT, muungano wetu ni muungano wa union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuwa nchi moja ya JMT. Hakuna any contradiction kwenye hili. Ila ndani ya muungano, muungano wetu ni wa federation wa nchi mbili za Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.
P
Paschal Zanzibar ni nchi au sio nchi..?
 
Roho inaniuma ninapokutana na comment kama hizi
Niliwahi kukamatwa na polisi wa zanzibar kwa kuendesha gari bila kibali cha kuendesha gari(leseni ya tanzania bara haitambuliki ukifika kule lazima ukate permit za kuendesha gari ni kama uonavyo hapa bongo wageni wa mataifa mengine walivyo na leseni zao)
Hahahaha acha bana [emoji23][emoji23], wakati polisi wao tunawafundishia chuoni kwetu CCP
 
Mifano ya mikataba na faida yake kama Tanganyika itaipa Zanzibar, Burundi, Rwanda, DR Congo, Zambia, Zimbabwe maeneo ndani ya Tanganyika / Tanzania bara



MIRADI MIKUBWA YA SGR RELI MPYA, BANDARI ZA KIGOMA NA DSM ZIONDOKANE NA 'CHOYO'

Paul Kagame anaelewa alichoongea kwa undani hasa ukirejea makubaliano baina ya wakoloni wa ki-Belgiji na wale wa Kiingereza.


Wakoloni hawa wa Belge na shujaa wao gènèral Tombeur wa vita ya (Bataille de) Tabora, baada ya kushirikiana na Uingereza vita kuu 1914 -1918 kumshinda Mjerumani huku majeshi ya ki- Belgiji yakiwa yameweka makao yao makuu mjini Tabora hii ya sasa Tanzania wakati ule German East Afrika ilibidi mabwana wakubwa hawa wa ulaya wasaini mkataba.
View attachment 2281414
Ubelgiji ilitaka kuendelea kukalia maeneo ya Tabora, Urambo, Kigoma, Biharamulo waBelge walifika na majeshi yao mpaka jimbo la Morogoro kilometa 200 toka bandari ya DSM lakini ikajiimarisha zaidi magharibi makao yakiwa Tabora na mtaji huu ukawa kama sehemu ya koloni lake ikimujuisha pamoja na nchi za Urundi-Ruanda, Free Congo ya mfalme Leopold. Belbases - Une page oubliée du colonialisme Belge en Afrique

Ubelgiji ikaamua kutumia maeneo hayo iliyoyakalia ndani ya Ujerumani ya Afrika Mashariki baadaye ikapewa jina Tanganyika baada ya kuwafurusha waJerumani katika vita ya kwanza ya dunia upande huu wa Afrika ya Mashariki 1914 -1918, kama sehemu ya mtaji wao ktk mazungumzo kufungulia njia ya kufikia pwani ya bahari ya Hindi kupitia reli ya kati hadi bandari ya Dar es Salaam.
Hivyo wakakubaliana na Waingereza kuwa iwapo Ubelgiji itaondoa majeshi yake toka Tabora, Urambo, Uvinza n.k basi makoloni ya Ubelgiji ya Burundi, Rwanda na lile kubwa la Free Congo (DR Congo) upande wa mashariki watapewa hadhi maalum ya kutumia reli ya kati toka Kigoma mpaka Dar es Salaam bila usumbufu wowote. Ubelgiji itachangia uimarishaji wa gati ktk bandari za Kigoma na DSM ambazo hazitatozwa ushuru wowote na kurahishisha biashara baina ya makoloni ya Ubelgiji pande hii ya Maziwa Makuu na dunia kupitia bahari.

Gati hizi zilijulikana kama BelBases na kampuni maarufu ya Belgium ya AMI ilipewa haki miliki za kufanya jambo hilo la eneo huru la kusafirisha na kuingiza bidhaa toka ngambo au kuuza ngambo kupitia reli ya kati na bandari za Kigoma na DSM ktk gati exclusive kwa matumizi ya waBelgiji.


Hivyo mh. Rais Paul Kagame anashangaa kwanza Tanzania ilivyo na geopolitical power kibiashara kuto copy aina ya uendeshaji na uwekezaji wa walivyofanya waBelgiji /Waingereza kupitia BelBases AMI kwa kushirikisha nchi jirani wawekeze ktk reli ya SGR reli mpya DSM - Kigoma-Burundi-Rwanda na DR Congo. Kwa kuwashirikisha wawekeze basi nchi hizo zingetumia bandari ya Dar es Salaam na mifumo ya reli nchini kwani Rwanda, Burundi na DR Congo wangekuwa wadau wa maendeleo na wangeachana kupitisha mizigo Uganda, Kenya hadi bandari ya Mombasa kwa kuwa wangekuwa wajinga waache kutumia uwekezaji wao wawafaidishe wengine, huku kubwa ni kuwa mkataba wa ulioanzisha BelBases ulionesha mafanikio makubwa.


Mkataba ulioanzisha BelBases barani Afrika ulikuwa wa kuheshimika kama mikataba ya bahari nyeusi kule Turkey Bosphorus Strait (the Montreux convention) Implementation of the Montreux Convention / Rep. of Turkey Ministry of Foreign Affairs ambapo meli nyingi zinatumia kwa uhakika huku kuna kuaminika kimataifa.

Tanzania ingeweza kufufua makubaliano ya namna hiyo ya uwekezaji jumuishi baina ya mataifa ya eneo hili yangeigeuza bandari ya Dar es Salaam kuwa bandari mojawapo kubwa ki-operesheni kwa kupakua na kupakia mizigo, kuigeuza Dar es Salaam kuwa Dubai ya Afrika Mashariki kwa kuvutia wawekezaji na namna tunavyoheshimu mikataba ya kimataifa n.k kama zifanyavyo nchi za bandari za Singapore, Dubai n.k

Nini kifanyike?

Wazo la rais Paul Kagame linaweza kukabaliwa kwa kuwaingiza Rwanda katika ubia, nini kinashindikana ikiwa airport ya KIA Klilimanjaro Airports tumewakaribisha OmanAirports kuwa wabia ktk uendeshaji.
Nini sababu ya sisi majirani wa kihistoria na tamaduni kuogopana kuendesha miradi mikubwa ya reli na bandari mpaka twende alika kampuni ya India, China au South Afrika waje waendeshe wakati kuna mfano hai kuwa kulikuwepo ukaribu wa uendeshaji wa reli, gati na bandari baina ya nchi hizi jirani na zilisaini mikataba iliyona manufaa kwa eneo hili la Afrika hususan Ruanda-Urundi-Tanganyika na Free Congo? Tuache chonyo kwa kisingizio cha uzalendo uchwara wakati diplomasia ya kweli ya kiuchumi kupitia mikataba maarufu wa mwaka 1921 kama ya Belbases Agence belge de L'Est Africain. Belbase.

Le gènèral Tombeur et Bataille de Tabora


22. Exchange of notes accepting the protocol signed at Kigoma, on 5 august 1924, relative to the Tanganyika-Ruanda-Urundi frontier. Brussels, 17 May 192646,47​

(46League of Nations, Treaty Series, vol. 54, p. 239.)

(47See also the Agreement between the United Kingdom and Belgiun regarding Water Rights on the Boundary between Tanganyika and Ruanda-Urundi, London, 22 November 1934, in Legislative Texts and Treaty Provisions concerning the Utilization of International Rivers for Other Purposes than Navigation (United Nations publication, Sales No. 63.V.4), p. 97.)

No. 1 - The British Ambassador at Brussels to the Belgian Minister for Foreign Affairs

Brussels, 17 May 1926

Monsieur le Ministre,

I have the honour, under instructions from His Majesty's Principal Secretary of State for Foreign Affairs, to convey to Your Excellency by the present note the formal acceptance by His Majesty's Government of the Protocol signed at Kigoma on 5 August 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.

I am at the same time instructed to draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and to invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that, at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.

I should be grateful if Your Excellency would be good enough to confirm to me that the Belgian Government is in agreement with His Majesty's Government with regard to the arrangements indicated in the preceding paragraph.

I avail myself of this opportunity, etc.

No. 2 - The Belgian Minister for Foreign Affairs to the British Ambassador at Brussels

Brussels, 17 May 1926

Your Excellency,

I have the honour to acknowledge receipt of your letter of today's date, in which you are good enough to inform the Royal Government that His Britannic Majesty's Government accepts the Protocol signed at Kigoma on August 5, 1924, with its accompanying maps, as defining the boundary between Tanganyika Territory and the Belgian mandated territory of Ruanda-Urundi.

The Belgian Government also approves these documents.

At the same time you draw the attention of the Belgian Government to paragraph 51 of the Protocol in question and invite them to agree that, notwithstanding the new boundary in Lake Tanganyika which is defined by the said paragraph, all customary rights of fishing and passage exercised by natives living on either side of it should be preserved, but that at the same time, even with regard to the rights of fishing and passage, the respective Governments should preserve their common law rights and should not, for instance, be debarred from levying a fishing tax on all persons alike who use their territorial waters.

The Belgian Government has the honour to confirm to Your Excellency that they are in agreement with His Britannic Majesty's Government with regard to these arrangements.

................................................................
9 December 2020

Rais Magufuli aeleza sababu ya somo la Historia kuwa la lazima​


Magufuli : Historia ya kweli ifundishwe, vijana lazima waifahamu historia yetu tumetoka wapi. Haiwezekani watoto wetu wafahamu historia ya Mansa Mussa wa huko Afrika ya Magharibi lakini hata ya "kwetu" hawaifahamu. ( Kigoma iliyokuwa ndani ya Ruanda-Urundi mpaka 1924 chini ya utawala wa Ubeljii) hawaifahamu.....

100 YEARS BELBASES

A FORGOTTEN PAGE OF BELGIAN COLONIALISM IN AFRICA

Belgian bases in East Africa​



The Belgian colonial period ended with the independence of Burundi and Rwanda on July 1, 1962, but there is still a vestige of our colonial past: the Belbases in Tanzania.

In 1919, during the negotiation of the Treaty of Versailles, Great Britain was able to seize almost all the German colonies in East Africa. Rwanda and Burundi became Belgian mandate areas.

But Belgium, which had also participated in the war effort in East Africa, was not satisfied, protesting strongly. She received in 1921 from the British a commercial gesture as a consolation, the so-called Belbases (from "Belgian Bases"), sites in two ports of Tanganyika: Kigoma on Lake Tanganyika, and Dar es Salaam on the Indian Ocean , with free transit on the railway between these two ports.

This agreement was signed 100 years ago, on March 15, 1921.

Belgium leased the concession for a symbolic franc per year, where it could build docks and warehouses, initially in perpetuity, from 1956. for 99 years.
Goods to and from the Belgian colonies in Central Africa could pass tax-free via the railway. The Belgian government entrusted the operation to a private company, the Belgian East African Agency, which later became the International Maritime Agency (AMI).
In 1956, the Belbases were transferred to the colonial government, which now funded the infrastructure. After the independence of Congo, Burundi and Rwanda, the Belbases became the joint property of the former colonies.

The transit zone gradually lost its economic importance and, certainly after the riots of 1991 (Congo) and 1994 (Rwanda), traffic from Central Africa stopped. Between 1994 and 1995 the AMI began discussions on an "honorable end" to the management agreement, in 1996 Tanzania took over the sites.

Even if they have not been used for 25 years, in theory these Belbases still exist, because the four countries (Tanzania, Burundi, Congo and Rwanda) have not yet been able to agree on compensation for the takeover of the installations.

March 15, 1921​

On March 15, 1921, the Belgian and British governments signed a convention concerning " the free passage of persons, mail, goods, ships, vehicles and wagons from or to the Belgian Congo ", including the protectorate of the Rwanda - Urundi.

The last Belgian manager​

From January 1992 to December 1995, Guido Fallentheyn was the last Belgian manager of the Belbases in East Africa.

Source : Belbases - Une page oubliée du colonialisme Belge en Afrique

Kwa hiyo unatuletea hii mikataba ya kikoloni ili kuhalalisha Tanganyika iwe koloni la Zanzibar au una maana gani mkuu? Acheni kuwa na mawazo ya kitumwa.
 
Km wakenya wapo huko ifakara, kilosa, wanalima bila wasiwasi na kusafirisha mazao Yao mpk Kenya nn cha kushangaza Zanzibar kumiliki hizo hekari. Vijana wa hii nchi wapo usingizini fofofo

Kama ardhi ni ya wazanzibari, na imethibitika ardhi ni yao shida ipo wapi! Acha ndugu zetu wazanzibar wadai haki yao
 
Umechekewa jamvini, karamu imeshaliwa.

Hawaombi eneo, eneo wanalo tayari na jirani yao hapo Bakhresa alipewa hekta elfu 10 na Magufuli. Umesahau?

Kumbuka, Bakhresa pia ni Mzanzibari.

Utakufa nacho kijiba cha roho.
Bibi kuwa mstaarabu basi au waarabu wamewaharibu vichwa? Kwanini mnapenda kuwa wabishi bila hoja? Kumbuka hizo ardhi mnazojichotea/chotewa zitakuja kuwatokea makalioni siku za usoni. Watanganyika hawawezi kukosa ardhi kisa wapuuzi fulani wamepora ardhi yao. Mtakuja kujutia huo uamuzi wenu hapo baadaye. Jiangalie!
 
ardhi ya Tanzania ni mali ya umma, inakuaje leo mtu anaamka anasema ardhi fulani Tanzania ni mali ya Zanzibar?
 
Mdogomdogo wameanza kusogea, ila ipo siku watapokea kichapo hawataisahau bara

Kichapo kutoka kwa nani? Waislamu wameuawa nchini Zanzibar unafikiri hilo limesahaulika!! Mimi ni mbara litokee la kutokea nimuone ndugu yangu muislamu anapigwa/nyanyaswa/uawa dhidi ya madhalimu halafu niangalie au niwe upande wako wewe aise nitakua kichaa, kitachimbika kweli kweli. Anza sasa tuone, tuliopo bara tunawaangalia tu mjue, sasa ALEYOMBA GEKKE nkoi anza sasa kama wewe ni kidume.
 
Watanzania tuna chuki mbaya kazi kubaguana. Kwani zanzibar kumiliki ardhi bara Kuna shida gani. Imefika mahala hadi sisi wenye we tunabaguana. Ukisoma baadhi comment ziko kichuki mnaingiza udini, ukanda. Yani mtu anaona ni Sawa kuropoka manenoo ya kibaguzi waziwazi. Inatia aibu sana sana, tumebaki tukisema Watanzania wakarimu kumbe sisi wanafiki mbwa kabisa. Ukiona threads kama hizi ndio unaipata picha mtanzania yuko je

Sio kitu kibaya Serikali ya zanzibar kumiliki ardhi bara, iweje wananchi waruuhusiwe kumiliki alafu Serikali ikataliwe huu si uupuuzi.

Hivi ujinga utafikisha wapi. Mtu hata ukijificha nyuma ya keyboard bado tu unabaki kuwa mjinga na mpuuzi. Ndiyo maana tumebaki kuwa washikina wa shenzi huku tukijidanganya kuwa sisi wakarimu sana. Hamna lolote.

Haya! Wazungu hatuwataki, wakenya hatuwataki, WA zanzibar hatuwataki tukishamaliza tunakuja wenye we kwa wenyewe. Tutamalizana kwa chuki na ubaguzi.

Mijitu inajifanya Ina ukarimuu kumbe mashetani, MBwa mwitu

All of you should be ashamed of yourself, pathetic human beings.
 
Kuoa rukhusa lkn kununua kiwanja hapana. Mm nimekaa miaka 6 maeneo ya Fuoni nikifanyia kazi zangu maeneo ya Daraja bovu na Kwerekwe

Na kununua bidhaa Zanzibar ununue kupitisha Tanzania ndio kikwazo mara utozwe ushuru, nini maana ya muungano!! Kabla ya kuishutumu Zanzibar, anza na hapa
 
Kichapo kutoka kwa nani? Waislamu wameuawa nchini Zanzibar unafikiri hilo limesahaulika!! Mimi ni mbara litokee la kutokea nimuone ndugu yangu muislamu anapigwa/nyanyaswa/uawa dhidi ya madhalimu halafu niangalie au niwe upande wako wewe aise nitakua kichaa, kitachimbika kweli kweli. Anza sasa tuone, tuliopo bara tunawaangalia tu mjue, sasa ALEYOMBA GEKKE nkoi anza sasa kama wewe ni kidume.
endeleeni kuwashika sharubu wabara, kuna siku mtaenda kujazana kwenye icho kisiwa hata pa kujisaidia mtakuwa hamna. jifunzeni kula na kipofu.
 
Back
Top Bottom