Ranchi of Zanzibar Bagamoyo


https://jamii.app/JFUserGuide
http://https//jamii.app/JFUserGuide › inde...
Je wajua kuwa Zanzibar inamiliki Hectare 28000 Tanganyika? Sasa ...

9 Apr 2014 · 11 posts · 9 authors
Eneo hilo lipo Bagamoyo na mipaka yake ni Mto Ruvu, barabara ya Msata, reli ya Tanga, mto Wami na bahari ya Hindi. SMZ walipewa

09-04-2014, 12:26
Kuna kitu ambacho naamini watu wengi hawajui. Hivi mnafahamu kuwa serikali ya mapinduzi Zanzibar inamiliki zaidi Hectare 28,000 Tanganyika? Unaweza kuendesha gari yako bila kuvuka maji na ukaingia Zanzibar?


SMZ walipewa zawadi eneo hilo na mwalimu Julius Nyerere ili kurahisisha upatikanaji wa nyama Zanzibar. Eneo lilitengwa kwa matumizi ya Ranchi na linaitwa Ranch of Zanzibar Bagamoyo (RAZABA)
@ Copyright reserved


Thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz › national
Dar land sharks target key deal in Bagamoyo

22 Apr 2021 — ... and handed the lease of occupancy for the 24,000-hectare former Ranch of Zanzibar in Bagamoyo (Razaba) to


More info :

RANCH OF ZANZIBAR BAGAMOYO abandoned by the Government of Zanzibar in 1994.

Bagamoyo EcoEnergy Project (BEE) has entered into a joint venture partnership with the Tanzanian Government and has been provided with 24,000HA of land by the GoT on the western part of the Ranchi ya Zanzibar (RAZABA ) area in Bagamoyo District Tanzania, which was abandoned by the Government of Zanzibar in 1994. The intention is to develop a green field sugar cane plantation on approximately 7800HA of land ...
Source : Tanzania - Bagamoyo Sugar Project - Executive RAP Summary
 
Walipewa na nani? Acha kutupotosha.
 
kwahiyo unataka Rais awapokonye mali yao??unakubaliana na unyanga'nyi?
Mipaka ya Zanzibar unajua kuwa inaishia huko baharini haifiki huku bara? Sasa huku bara wanatafuta nini? Lazima tuchukue ardhi yetu. Ardhi ya Tanganyika sio shamba la bibi kwamba kila mtu aje kujichotea. Wananchi wakose ardhi ya kulima kisa ardhi yao imeporwa na wala urojo? Haikubaliki.
 
Kati vitu nitafurahi kusikia ni kuvunjwa kwa huu mchongo
 
Tanzania hununua ardhi na kujenga balozi Dunia nzima,

Je kununua ardhi Nchi zingine Kwa ajili ya ubalozi ni sawa na njama za mapinduzi?
Una hakika hiyo ardhi imenunuliwa na kwamba Zanzibar wanatka kujenga ubalozi juu ya ardhi hiyo? Usihamasishe Zanzibar kupora ardhi ya Tanganyika kimabavu; kuwa mzalendo.
 
Walipewa na nani? Acha kutupotosha.

mwanahalisionline.com
https://mwanahalisionline.com › zan...
Zanzibar watangaza rasmi kuwa shamba la RAZABA ni mali yao

14 hours ago — Mgogoro kati wananchi wa kijiji cha Winde na Ranchi ya Razaba, umedumu kwa zaidi ya miaka 40 sasa,.....


SEKTA YA KILIMO NA USHIRIKA
Bagamoyo Ecoergy Sugar cane Farm ni eneo lililokuwa Ranchi ya Watu wa Zanzibar (RAZABA) ambayo ilitegemewa kuzalisha miwa ambayo ingetumika katika kuzalisha Sukari, Ethanol na Umeme, eneo hili linafaa kwa kilimo cha Umwagiliaji lakini bado halijaendelezwa....

Source : Maeneo ya Uwekezaji | Bagamoyo District Council
 
Nadhani maana mstari wa mpaka umenyooshwa kwa rula, pale kwenye mlima, wakapindisha, mlima ukaingizwa kwetu.
P
Wanadai Queen Victoria alimzawadia mpwa wake Kaiser wa Ujerumani baada ya kuona yeye tayari ana mlima wenye theluji.
Lakini sisi hatukuwa sehemu ya huo mkataba kwa hiyo hautubani sana.

Amandla....
 
Serikali 3 zikiwepo kikatiba muungano Chali cha mende
No!, it's the other way round, muungano utaimarika!, tutashare the cost ya kurun muungano, kwa sasa kuna punda mmoja tuu ndie anamenyeka, halafu mwingine, anakula tuu sushi!.
P
 
Wazanzibar ni watu wa ajabu sana. Nchi yao ni ndogo lakini kila siku tunasikia rais wao akiuza visiwa kwa mabeberu na ardhi inazidi kupungua. Amemaliza kuuza nchi yake kwa mabeberu sasa anakuja kupora ardhi ya Tanganyika. Huu ni uchokozi usiokubalika.
 
Wazanzibar ni watu wa ajabu sana. Nchi yao ni ndogo lakini kila siku tunasikia rais wao akiuza visiwa kwa mabeberu na ardhi inazidi kupungua. Baada ya kuuza nchi yake kwa mabeberu sasa anakuja kupora ardhi ya Tanganyika. Huu ni uchokozi usiokubalika.

Mambo ya kawaida kabisa nchi na nchi kupeana eneo la ardhi.

Rasi ya Kaliningrad ipo mbali na Russia lakini inajulikana kama ni eneo lake baada ya mikataba / treaty kusainiwa.

Falme ya Lesotho ipo ndani ya Republic of South Africa lakini mkataba / treaty hiyo inaheshimika kuwa Lesotho ni nchi

Mifano ipo mingi sana hata bandarini Dar es Salaam Burundi walipewa ardhi kupitia Mkataba wa Belbases Belbases -Convention 1921 hadi mwaka 1994 ulioisha kufuatana na masharti na vigezo kuwa gati bandari ya Dar es Salaam, Gati Kigoma, mabehewa hayafunguliwi n.k inaonesha historia ya treaties

Tuenzi hii mikataba kwani ina manufaa pakubwa katika nyanja za kuchochea biashara, uchumi na diplomasia ya kiuchumi bila kusahau inaimarisha uendelevu wa kuaminiana na kufahamiana baina ya nchi na nchi.

Tuache choyo na kuoneana inda wakati masuala haya ni kawaida katika dunia hii .
 
Wengi hawajui ni wapumbavu kabisa bora uwaambie.

Kama mali yao hamna tatizo ila watu wanaingiza uhasama na ishu ya haki ..

wengi wangekuwa wanahoji uhalali ila wao mara muungano mara hiki yaani tafarani.
 
Mambo ya kawaida kabisa nchi na nchi kupeana eneo la ardhi.
Tanganyika inaweza kwenda kupora ardhi Zanzibar au Kenya? Kwanini mnauza ardhi yenu inaisha halafu mnakuja kupora ardhi ya Tanganyika? Mmerogwa nini?
 
Kijana fanya kuhoji uhalali sio unakuwa na mihemko na unaonekana unapenda fujo sana, sijui kama una elimu kweli?

Mtu anaweza kumiliki ardhu sehemu yeyote ile ,ishu ni ndogo je ni halali wao kumiliki wana uhalali kiasi gani?

Unaleta uzi ukiwa unaonesha chuki huwezi kujua ukweli zaidi ya kuungwa mkono na wajinga .
 
Sishangai, kwa sababu Nchi ina Raia wapumbavu haijawahi tokea, kutwa nzima ni Yanga na Simba unategemea nini? Yaani watu ni Yanga na Simba huku watawala wakiineemeka na keki ya ncni
Ardhi ya Tanzania tumeweza kuitumia hata robo tu ya yote tuliyonayo?. Tuwe kwanza wabunifu na tuwe na tamaa ya maendeleo ili tunapolalamka kuibiwa ardhi yetu iwe ni hoja yenye kueleweka.
 
Bado akili ndogo sana nchi kuwa kubwa au ndogo ni ishu ya kimipaka na ethics za watu... Zanzibar ingekuwa sio sehemu ya Tz ingekuwa na maendeleo ya mbali sana


Huoni mlivyokuwa na shobo kwenda kutalii?

Nchi yenyewe haifikii hata mkoa mmoja wa Tanganyika. Ni shida
 
Yan we unamasihara sana wamege Mikoa gani Dar Moro Mtwara na Pwani [emoji1][emoji1].

Hao hakuna kupewa hata vumbiii la mkoa wowote kama hawatoshi wafanye recreation tu kama huko Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…