mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kabisa !Hakuna namna ni halali yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa !Hakuna namna ni halali yao
Mbona wachina na wadhungu mnawapa ardhi hamshtuki? Je unajua Sao Hill Njombe ni ya malkia wa uingereza?Nimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
Zanzibar kuchukua Ekari 6k tu mipovu inawatoka, mbona yule bilioneya wa marekani alimegewa ekari 6,000,000 hamjapiga kelele?Nimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
Mbona Kuna watanzania Wana maeneo Zanzibar,Wengine wazinzabar wana maeneo Tanzania Kwa Nini Serikali Isiwe Nalo.Nimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
Inafahamika Rais wa Zanzibar ni Dr. Mwinyi. Wa Tanganyika ni nani?Nimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
Wazanzibar ndivyo walivyo.....wanapenda chokochoko kumchokoa pweza. Hapa Tanganyika kuna wapemba kama wote wanamiliki ardhi lakini ukienda Pemba huwezi kumkuta mtanganyika akimiliki hata bustani ya mboga. Wamezoea kuifanya Tanganyika shamba la bibi. Kama vipi tuwafurushe warudi kwao wasitake kutuletea ujinga mamboleo.kwa kawaida, charles hilary kama kweli anaamini zanzibar ni nchi, hakutakiwa kuongea chochote, icho alichoongea ilipaswa kuongea wizara ya ardhi tanzania. kuongea ukiwa nje ya nchi maana yake unawapiga mkwara kuanzia wizara, nchi hadi raia wake. mbona nimewadharau sana.
Ni kama mkono wa koti kwenye koti kamili siyoZanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
P
Acha kutetea ujinga wewe. Ardhi haigawiwi bure kama njugu. Hata kama iligawiwa enzi hizo kwa matumizi ya ranch na sasa haitumiki kwanini waendelee kuingangania ardhi ya Tanganyika?Tuliza mshono Mangi hii ardhi wakipewa tangu awamu ya kwanza kwa minajili ya kuanzisha ranchi ya mifugo kupeleka vitoweo kwao wakati huo hakukuwa na wafanya biashara binafsi.
Ni sawa na mmiliki wa AS Roma kumiliki maelfu ya ekari nchini.
Hebu lete data kwanza usituletee poroja za vijiweni hapa. Kama huju hili jambo bora ukae kimya.Zanzibar kuchukua Ekari 6k tu mipovu inawatoka, mbona yule bilioneya wa marekani alimegewa ekari 25,000,000 hamjapiga kelele?
Hoja yako ni nini hapa sisi tunaongelea uporaji wa ardhi wewe unatuambia habari ya utalii wapi na wapi?Mbona Kuna watanzania Wana maeneo Zanzibar,Wengine wazinzabar wana maeneo Tanzania Kwa Nini Serikali Isiwe Nalo.
Zanzibar Inachangia Uchumi Mkubwa Sana Tanzania Kupitia Utalii,Zanzibar Inajulikana World Wide Kwa Kuwa Na Fukwe Zenye Kuvutia,Watu Wakarimu Na Sehemu za nyingi Kihistoria
Sikushangaa Nilipoona Mzungu Anahojiwa ataje Nchi 5 Za Africa Akataja Zanzibar
Soma forbes article on friedking family and acquisition of 6m acres of Tanzanian land. This article also appeared in the citizen newspaper of 10 May 2023. Please be informed accordingly.Hebu lete data kwanza usituletee poroja za vijiweni hapa. Kama huju hili jambo bora ukae kimya.
Ingekuwa ni eneo lako ungekubali lichukuliwe?Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.
Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.
======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.
Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.
Weka ushahidi wa Chama cha Kikomunisti cha China kumiliki ardhi USA.Serikali ya China inamiliki ardhi kubwa tu USA kwahiyo sishangai.. umiliki wa ardhi Tanzania si kwa mtu/taasisi yoyote? kama sheria zenu wa kumiliki ardhi ni dhaifu hata Somalia itakuja kununua ardhi huku.
Jee, kuna shughuli zozote za ranchi kwenye hiyo ardhi kama kusudio la wao kupewa ardhi husika?Kijana fanya kuhoji uhalali sio unakuwa na mihemko na unaonekana unapenda fujo sana, sijui kama una elimu kweli?
Mtu anaweza kumiliki ardhu sehemu yeyote ile ,ishu ni ndogo je ni halali wao kumiliki wana uhalali kiasi gani?
Unaleta uzi ukiwa unaonesha chuki huwezi kujua ukweli zaidi ya kuungwa mkono na wajinga .
Ardhi ni yao waache wafanye watakaloJee, kuna shughuli zozote za ranchi kwenye hiyo ardhi kama kusudio la wao kupewa ardhi husika?
Huwa haipo hivyo. Unatakiwa uwe makini kutetea hoja yako na siyo kuja na majibu ya mkato ya sentensi moja. Kama na wewe hujui basi minyaArdhi ni yao waache wafanye watakalo
Baada ya code 1 down wenye busara waliongea mengiiii ila Mkuu mmoja akasema yeye ni king Cobra? Wakamwambia kama weye ni king Cobra basi huyo ni king paython. Akasema mm nitaweza wenzake wakasema haya angalia yasikukute ya njomba na mwanae mkalitesa Taifa akasema yeye hajashindwa. Basi kikao Chao Hiko chasiriki kikaisha ila ndio kukawa na terms and condition ambazo kila siku watu wanazipindisha.... Sasa Mh mmmm Wacha nikae kimya ila Kuna nabii mmoja alipata kusikia wakati ako kanada watu wakambeza ila Utabiri unataka timia zenj kuiteka Tanganyika. How and why? Watajuwana wenyewe. EndNimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata. Inawezekana serikali ya mapinduzi ama inataka kuipindua Tanganyika au imechoshwa na muungano; sasa wanataka kuleta chokochoko ili muungano ufe wagawane mbao. Kufulilah! Lolote liwalo na liwe....kama mbwai iwe mbwai! Wasitutishe.
View attachment 2642276
MAONI YANGU
Tangu zamani mimi niliwaambia kuwa huu muungano wa mchongo hauna maana yoyote hamkunisikia. Kiko wapi sasa, si mnaona wao wenyewe wameanza uchokozi? Moja ya makosa makubwa aliyofanya Nyerere ni kuinganisha Tanganyika na hawa wala urojo.
Kama Zanzibar wanaona nchi yao ni ndogo sasa wanataka kuja kupora ardhi ya Tanganyika ni bora waseme wamegewe mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Lindi na Mtwara kisha tuweke mipaka mipya kila nchi iendelee na mambo yake badala ya huu uhuni wanaofanya kupora ardhi ya Tanganyika kinyemela. Inauma sana.
Nimeshangazwa mno kusikia kwamba Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imejimegea kipande kikubwa cha ardhi nchini Tanganyika huku serikali ya Tanganyika imekaa kimya. Haiwezekani uvamizi huu ufanyike mchana kweupe kila mtu akiona. Lazima kuna jambo limejificha nyuma ya hili sakata.
Watz kawaida yao wana-wait and wana-see, mwisho wa picha.Halafu mbona uvamizi umefanyika kipindi hiki? Kuna jambo limejificha nyuma ya pazia. Let us wait and see.