Mambo ya kawaida kabisa nchi na nchi kupeana eneo la ardhi.
Rasi ya Kaliningrad ipo mbali na Russia lakini inajulikana kama ni eneo lake baada ya mikataba / treaty kusainiwa.
Falme ya Lesotho ipo ndani ya Republic of South Africa lakini mkataba / treaty hiyo inaheshimika kuwa Lesotho ni nchi
Mifano ipo mingi sana hata bandarini Dar es Salaam Burundi walipewa ardhi kupitia Mkataba wa Belbases
Belbases -Convention 1921 hadi mwaka 1994 ulioisha kufuatana na masharti na vigezo kuwa gati bandari ya Dar es Salaam, Gati Kigoma, mabehewa hayafunguliwi n.k inaonesha historia ya treaties
Tuenzi hii mikataba kwani ina manufaa pakubwa katika nyanja za kuchochea biashara, uchumi na diplomasia ya kiuchumi bila kusahau inaimarisha uendelevu wa kuaminiana na kufahamiana baina ya nchi na nchi.
Tuache choyo na kuoneana inda wakati masuala haya ni kawaida katika dunia hii .