Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
Ama wana uraia au wana vibali vya ukazi kwa ajili ya kutunza urithi wa historia ya pale kwa kuhusiana na harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kumbe hujui chochote hlf kelele tuu

Apo Mazimbu kwa sasa hakuna msouth anaeishi ple zaidi ya makaburi,shule na yale majengo ya chuo
 
Kumbe hujui chochote hlf kelele tuu

Apo Mazimbu kwa sasa hakuna msouth anaeishi ple zaidi ya makaburi,shule na yale majengo ya chuo
Uliandika hivi:
Mbona mazimbu kule wanamiliki wadizonga(wasouth) na hamjapayuka hivi
Kma hatujui historia vijana ni bora tukawaulize wazee.

Swali:
Sasa hivi unasema ni makaburi yapo pale je, marehemu wanamiliki ardhi?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni nchi moja ya JMT, ambapo Zanzibar ni sehemu ya JMT, SMZ na Mzanzibari yoyote yuko huru kumiliki Ardhi huku kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ikiwemo kumiliki Ardhi.

Ranchi ya Makurunge iliyopo Bagamoyo ni mali halali ya SMZ. Tena tuna bahati wakoloni Wajerumani walitusaidia, ukanda wa maili 10 za Pwani yote ya bahati ya Hindi kuanzia Sofala hadi Mombasa ilikuwa ni mali ya Sultan of Zanzibar!. Sultan alipewa eneo hilo na mkutano wa Berlin kugawana Africa ile 1884. Miaka 6 baadae 1890, ndipo Ujerumani, na Uingereza wakaingia mkataba za Sultan of Zanzibar awaachie, na wao wakaahidi kumlinda.

Mkataba huo unaitwa The Zanzibar Treaty, huku Ujerumani na Uingereza wakiachiana maeneo, visiwa vya Witu na Helingoland, na ni mkataba huu ndio wakahamisha mipaka ya Ziwa Nyasa kulifanya la Malawi!.
P
Leo broo umegonga ikulu,umenikumbusha history niliyosoma form five na six,watu hawajui mpaka ilipo ikulu Hadi mnazi mmoja ilikua Mali ya sultani wa Zanzibar
 
Mkuu two wrongs cannot make one wright. Kwa hiyo unataka kuhalalisha uvamizi na uporaji wa ardhi ya Tanganyika halafu watanganyika watalima au kujenga wapi? Kuwa mzalendo hata kidogo tu basi.
Endelea na uzalendo wako.
 
Hao tungewalazimisha iwe kama Hongkong tu
 
Uliandika hivi:
Mbona mazimbu kule wanamiliki wadizonga(wasouth) na hamjapayuka hivi
Kma hatujui historia vijana ni bora tukawaulize wazee.

Swali:
Sasa hivi unasema ni makaburi yapo pale je, marehemu wanamiliki ardhi?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ww jamaa akili zako zimeenda likizo kma likizo ya shule ya mwezi huu
 
Duuh🙄
Ukifuga pimbi anaota mkia.
Ukute wanatikisa tu kiberiti halafu wanasikilizia!!!
Dawa ni kugeuza Zenji iwe wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani

Hilo haliwezekani,

Ile ni nchi na ilipata uhuru wake kwa kumpindua mkoloni
 
Wakati Kenya unaruhusiwa endesha
Ni uswenge na ubaguzi kujikuta wao ni waarabu
Usishangae yule wa kutembea na mzungu kule ngorongoro kuwaita maasi primitive yaani kwa cheo chake unawaita raia wazawa primitive inauma sana[emoji35][emoji35]
 
Zamani tulisema wakurya ndio maafande. Ila kwa sasa Zanzibar ina maafande wengi sana yawezekana baada ya muda watapita idadi ya wakurya. Sijui ninachokisema ‘kichoggo mimi’
Uko sawa usaili uliopita kuna kiwango kikubwa sana cha recruitment toka zanzibar
Ni kama kuna kitu kinatengenezwa
 
Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara.

Jambo hili limenisikitisha sana and sijajua inakuwaje wazanzibari wawe na ardhi yao Tanganyika wakati mtanganyika ukifika Zanzibar ni sawa umeenda Kenya tu.

======
Msemaji wa Serikali ya Zanzibari, Charles Hillary amesema Shamba la Zaba lililoko Makurunge wilayani Bagamoyo ni mali ya Serikali ya Zanzibar hakuna mtu anayeruhusiwa kufanya shughuli yoyote eneo hilo.

Msemaji amesema Zanzibar imemiliki eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 6000 tangu mwaka 1977. Na amesema yoyete atakayeuziwa eneo katika ardhi hiyo hatalipwa fidia.

Pia soma: Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku na 4,000 Coast villagers face land loss to investor
is this a spinoff?
 
Uko sawa usaili uliopita kuna kiwango kikubwa sana cha recruitment toka zanzibar
Ni kama kuna kitu kinatengenezwa
Kwenye sekta zote nyeti. Mimi sasa hivi nahangaikia uraia wa Znz, najuwa nitaambulia japo U- RC kwa sifa zangu. Sasa hivi niko kwenye programu ya kujifunza Madrasa kwa juhudi kubwa ili niweze kufit kwy community ile.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Leo broo umegonga ikulu,umenikumbusha history niliyosoma form five na six,watu hawajui mpaka ilipo ikulu Hadi mnazi mmoja ilikua Mali ya sultani wa Zanzibar
Na kuna vitu navijua kuhusu Jengo la Ikulu yetu ya Magogoni, wakoloni Wajerumani na Waingereza walivificha!. Ikulu ni mjengo wa Kiarabu ulijengwa na Sultan of Zanzibar, kulikuwa na misikiti mule, na kuna makaburi. Waingereza walipochukua nchi kutoka kwa Wajerumani, wakavunja misikiti na kutundika msalabani!. Wakajifanya wamejenga wao!.

Masikini Msukuma yule, kwa ushamba tuu wa Kisukuma, tuka copy and paste mjengo wa Kiarabu na kuu paste pale Chamwino!. Kiukweli Mkuu wa nchi kuwa na exposure ni jambo zuri sana, mtu huwezi kupata exposure bila kusafiri. We had a chance to erect an ultra modern state of art state house!, ingekuwa kivutio cha watalii Dodoma!.
P
 
Ardhi ni ya nchi. Nyerere alikuwa mdhamini tu. Kama aliwapa eneo la nchi basi aliwatapeli.
 
Maelezo ni haya
IMG-20230601-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom