Mbona wachina na wadhungu mnawapa ardhi hamshtuki? Je unajua Sao Hill Njombe ni ya malkia wa uingereza?
 
Zanzibar kuchukua Ekari 6k tu mipovu inawatoka, mbona yule bilioneya wa marekani alimegewa ekari 6,000,000 hamjapiga kelele?
 
Mbona Kuna watanzania Wana maeneo Zanzibar,Wengine wazinzabar wana maeneo Tanzania Kwa Nini Serikali Isiwe Nalo.

Zanzibar Inachangia Uchumi Mkubwa Sana Tanzania Kupitia Utalii,Zanzibar Inajulikana World Wide Kwa Kuwa Na Fukwe Zenye Kuvutia,Watu Wakarimu Na Sehemu za nyingi Kihistoria
Sikushangaa Nilipoona Mzungu Anahojiwa ataje Nchi 5 Za Africa Akataja Zanzibar
 
Inafahamika Rais wa Zanzibar ni Dr. Mwinyi. Wa Tanganyika ni nani?
 
Wazanzibar ndivyo walivyo.....wanapenda chokochoko kumchokoa pweza. Hapa Tanganyika kuna wapemba kama wote wanamiliki ardhi lakini ukienda Pemba huwezi kumkuta mtanganyika akimiliki hata bustani ya mboga. Wamezoea kuifanya Tanganyika shamba la bibi. Kama vipi tuwafurushe warudi kwao wasitake kutuletea ujinga mamboleo.
 
Tuliza mshono Mangi hii ardhi wakipewa tangu awamu ya kwanza kwa minajili ya kuanzisha ranchi ya mifugo kupeleka vitoweo kwao wakati huo hakukuwa na wafanya biashara binafsi.
Ni sawa na mmiliki wa AS Roma kumiliki maelfu ya ekari nchini.
Acha kutetea ujinga wewe. Ardhi haigawiwi bure kama njugu. Hata kama iligawiwa enzi hizo kwa matumizi ya ranch na sasa haitumiki kwanini waendelee kuingangania ardhi ya Tanganyika?

Hivi nikikuazima koti halafu ukawa hulivai unajimilikisha au unatakiwa ulirudishe kwangu mwenye nalo? Tumia akili ya kuzaliwa kudadavua hili jambo usidadavue kwa kutumia historia feki ya ukoloni mamboleo.

Kamkoa kamoja tu kanaigeuzaje Tanganyika kuwa koloni lake? Acheni hizo bhana!
 
Zanzibar kuchukua Ekari 6k tu mipovu inawatoka, mbona yule bilioneya wa marekani alimegewa ekari 25,000,000 hamjapiga kelele?
Hebu lete data kwanza usituletee poroja za vijiweni hapa. Kama huju hili jambo bora ukae kimya.
 
Hoja yako ni nini hapa sisi tunaongelea uporaji wa ardhi wewe unatuambia habari ya utalii wapi na wapi?
 
Hebu lete data kwanza usituletee poroja za vijiweni hapa. Kama huju hili jambo bora ukae kimya.
Soma forbes article on friedking family and acquisition of 6m acres of Tanzanian land. This article also appeared in the citizen newspaper of 10 May 2023. Please be informed accordingly.
 
Ingekuwa ni eneo lako ungekubali lichukuliwe?
 
Serikali ya China inamiliki ardhi kubwa tu USA kwahiyo sishangai.. umiliki wa ardhi Tanzania si kwa mtu/taasisi yoyote? kama sheria zenu wa kumiliki ardhi ni dhaifu hata Somalia itakuja kununua ardhi huku.
Weka ushahidi wa Chama cha Kikomunisti cha China kumiliki ardhi USA.
 
Jee, kuna shughuli zozote za ranchi kwenye hiyo ardhi kama kusudio la wao kupewa ardhi husika?
 
Ni bora tu tungeungana na Rwanda basi.
Kwa ajiri kuendeleza undugu wetu wa karibu sana tu [emoji848]
 
Baada ya code 1 down wenye busara waliongea mengiiii ila Mkuu mmoja akasema yeye ni king Cobra? Wakamwambia kama weye ni king Cobra basi huyo ni king paython. Akasema mm nitaweza wenzake wakasema haya angalia yasikukute ya njomba na mwanae mkalitesa Taifa akasema yeye hajashindwa. Basi kikao Chao Hiko chasiriki kikaisha ila ndio kukawa na terms and condition ambazo kila siku watu wanazipindisha.... Sasa Mh mmmm Wacha nikae kimya ila Kuna nabii mmoja alipata kusikia wakati ako kanada watu wakambeza ila Utabiri unataka timia zenj kuiteka Tanganyika. How and why? Watajuwana wenyewe. End
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…