Umeandika"TANZANIA NI NCHI MOJA YA JMT" Kwa uelewa wangu JMT ina maanisha JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Contradiction?????
 
Baada ya kuinyonya sana Tanganyika na kuvimbiwa awamu hii ya sita, wanatafuta sababu itakayoleta sintofahamu na taharuki Ili wavunje muungano
 
Umeandika"TANZANIA NI NCHI MOJA YA JMT" Kwa uelewa wangu JMT ina maanisha JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Contradiction?????
Elimu ya uraia, inahitajika sana. Tanzania ni nchi moja ya JMT, muungano wetu ni muungano wa union, nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar kuungana na kuwa nchi moja ya JMT. Hakuna any contradiction kwenye hili. Ila ndani ya muungano, muungano wetu ni wa federation wa nchi mbili za Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar.
P
 
"Tena tuna bahati..."
Kweli mkuu ndo tulipofika hapa mwanamume unalegeza nafsi-mwili-sauti kama hivi?!
KINUU CHA MMAAKWA!!
 
Heligoland
 
Hilo eneo zanzibar kuyamiliki wengine tulikuwa tunajuwa kitambo sana,unaingilia ile barabara ya East Africa
Na ukienda huko kulikuwa na mpaka alama za vibao vikewekwa
Hata mashamba ya miwa ya baresa ni maeneo hayo hayo...na kunaitwa Razaba
Serikali ya huku bara yenyewe kuna maeneo nao wanayamiliki huko zenji

Ova
 
Umewahi hata kufika Zanzibar wewe? Hairuhusiwi mtu wa bara kumiliki kiwanja na kugombea uongozi wa aina yoyote huku
Roho inaniuma ninapokutana na comment kama hizi
Niliwahi kukamatwa na polisi wa zanzibar kwa kuendesha gari bila kibali cha kuendesha gari(leseni ya tanzania bara haitambuliki ukifika kule lazima ukate permit za kuendesha gari ni kama uonavyo hapa bongo wageni wa mataifa mengine walivyo na leseni zao)
 
Basi kama ni hivyo inabidi waachiane hayo maeneo kila mmoja abaki na eneo lililo upande wake!
 
Hivi kero za union zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…