Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

Natamani watanganyika wangefunguka akili kujua huu msimamo wa wazanzibar na serikali yao, lakini ni Kama kuna kifungo Cha giza, utaona wanavyowashangilia viongozi toka Zanzibar Kama misukule, wakati wazenji wanawaona watanganyika Kama wamalawi tu, wanatushangaaa hadi aibu
 
Mmemnyima manji kuendeleza fukwe ya coco sasa pale umebaki uchafuzi tu
 

Serekali ya Zanzibar si uwakilishi wa wazanzibari, Kura za wananchi hazikuheshimiwa waliongia madarakani waliingia kwa mtutu wa bunduki.
 
Ucwe na jazba mm c Cuf c CCM Wazanzibar tumecheleweshwa xana Kwa dizain izo hapo weka Uzanzibar wako mbele wacha kuhemkwa hizi NI rasilimali zetu sote regardless chama chak au itikadi yako
 
Punguza jazba, tuambie kwaupole tukuelewe vizuri.
 
Samahani hii USD 2,500,000 ni Capital anayotakiwa awenayo investor ama ni lease price?
 
Kwenye Article of Union naona kama Bandari imeorodheshwa kwenye mambo ya MUUNGANO na sijawahi kusikia kama iliwahi kutolewa.

Ninachofahamu ni kwamba hakuna utekelezaji.

Kila upande unasimamia Bandari zake.
 
Kwenye Article of Union naona kama Bandari imeorodheshwa kwenye mambo ya MUUNGANO na sijawahi kusikia kama iliwahi kutolewa.

Ninachofahamu ni kwamba hakuna utekelezaji.

Kila upande unasimamia Bandari zake.

Huo ni uvamizi uliopewa Jina la muungano
 
Zanzibar ni sehemu ya JMT, kwa maana ya kuuzwa kwa kipande cha ardhi ndani ya JMT ina maana gani kwa mamlaka ya JMT?
Je watu wanaonunua visiwa hivyo watatawalwa kwa sheria zipi? za JMT, SMZ, au za nchi zao?
Huu Si muungano ni uvamizi uliopewa Jina la muungano

 
Hujajibu kitu. Ulichofanya ni kuongeza suspicion kuwa kuna kitu kinafichwa. Hamna haja ya kumbeza mtu aliyekuuliza swali kwa sababu hupendi tu jinsi alivyoliuliza. Kwa majibu hayo aliyeuliza ataenda kuyapeleka kwa hao wananchi ambako hautakuwa na njia ya kumsahihisha. Obfuscation haisaidii.

Kujificha nyuma ya pazia kuwa serikali inafanya yote hayo kwa maslahi ya raia wake hakusaidii maana kuna mifano mingi tu ya wananchi kuumizwa kutokana na mikataba ambayo serikali yao imeingia kwa niaba yao. Mpe heshima yake kwa sababu ni kodi yake na za watu kama yeye ndio kwa kiasi kikubwa inaipa serikali yake uwezo wa kufanya hayo inayofanya. Na ni kodi yake ndio itakayotumika kurekebisha makosa yoyote yanayoweza kutokea hapo baadae.

Wewe kama unaweza kulipia chumba cha dola 2000 usimdharau yule anaedhani kuwa anakatazwa hata kuogelea katika maji yaliyozunguka kisiwa cha Bill Gates. Kama anatuhusiwa, mueleze hivyo kwa lugha ya staha ambayo wewe ungependa aitumie. Muonyeshe kwa mfano.

Amandla...
 
Huu Si muungano ni uvamizi uliopewa Jina la muungano

View attachment 2092234
Hongera sana Zanzibar. Kumbe UNO mmewahi kuwako? Sasa mnafeli wapi na sasa mambo mswanooo? Fosini tu na hili liwezekane. Kwa population yenu ilivyo mtaenjoy sana. Fedha za kukodisha visiwa + watumishi wa ubalozi huko duniani na mashirikani na wafanyabiashara Tanganyika na ajira za ndani za seriklia ya zanzibar na muungano, loh, mtajikuta pato la Taifa lenu lipo juuu sana na mtaenjoy saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…