Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.

Hayo ndo makosa ya upinzani. Badala ya kusifia CHADEMA, munasifia Tundu Lissu. 2015 pia CCM waliona hawana soko wakaanza kusifu Magufuli. Alipita na ameamua kuifanya nchi na serikali ni mali yake. Je Lissu akipita ataongoza na nani wakati CHADEMA haisikiki?
 
Mwambieni Lissu Kubenea kadakwa na pesa zake alizomtuma akachukue Kenya
 
Relax utakufa muda si wako sikia hii KETE YENU YA MWISHO NI KUMUIBIA KURA TU KAMA MLIVYOMFANYIA EL MAANA HAKUNA NAMNA NA BADO MDAHALO UNAANDALIWA HAIJAJULIKANA UTAKUWA KWA LUGHA IPI STAY TUNED.
Jibu swali acha mbwembwe.
 
Hatuhusiki huko mkuu

Mkuu Erythrocyte hongera sana kwa kujitoa kwako kutuhabarisha hapa JF kuhusukampeni za Rais wetu Mtarajiwa Tundu Lissu. Ila tukubali ukweli huu kuwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya CDM haiko serious na jambo hili la kupashana HABARI yanayojiri kwenye mikutano... wadau kadhaa wametoa malalamiko yao hapa lakini wahusika wameuchuna kama vile hakuna kinachoendelea....
 
H
Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Hako haumati km malori hakawezi kuzidi mafuriko ya Tundu Lissu.....

Hiyo ni fiesta wamejaa watoto wa shule tena za msingi kwani hao ndio wapiga kura?
 
Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Usafiri wa bure wa kuingia town nani asingetaka kwenda???
 
Back
Top Bottom